Kocha wa Houston Rockets, Stephen Silas, aliisifu timu yake baada ya kuitandika Sacramento Kings licha ya kumkosa James Harden katika mchezo wa Jumamosi.
Harden aliumia kifundo chake cha mguu mwishoni mwa mchezo uliopita dhidi ya Kings siku ya Alhamisi lakini hakutolewa hadi dakika 30 kabla ya ushindi wa 102-94, wakati huo alikuwa amepitia kwaida yake ya kushuti.
“Harden alikuwa akienda tu kuona jinsi anavyojisikia,” kocha huyo alisema. “Ni wazi kwamba hakujihisi vizuri kucheza.
“Kwa sisi kushinda mchezo huu bila yeye ni maalum sana.”
John Wall alicheza baada ya kukosekana kwa Harden, alicheza mchezo wake na kupata point 28 baada ya kukosekana kutokana na kukiuka taratibu za kujikinga coronavirus.
Silas alisema: “Sikuwa na matarajio mengi kwa Wall. Sikujua ni nini cha kinachoweza kutokea.
“Tulisikia kwa watu ambao walisema anaonekana mzuri. Lakini hatukujua hadi tulipomchezesha.
“Matarajio yoyote niliyokuwa nayo, ni wazi aliwazidi. Anafunga. Anawatengenezea wengine.
“Bado ana matatizo kwenye maamuzi na anajua hilo. Hiyo ni sehemu yake tu. kama haujacheza kwa muda mrefu sana, haupaswi kumtarajia awe mwepesi kabisa.”
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?



Magdalena
Juhudi ndo jambo LA msingi
Shakila mrope
Asant kwa taarifa
warda
Ndo inavyotakiwa mkicheza msimtegemee mtu mmoja
Adelta
Hii ni makala nzuri yenye maelezo mazuri na uhalisi wake
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri kabisa ndio inavyo takiwa
Angelina
Nice update
Hopemwaikuka
Gud job
Rahmal
Vizuli sana
Dorophina
Pongezi kwao na pole kwa harden
Ernest Kimeru
Hii ni Salaam kwa Harden
Mwanahamisi
Pongezi kwao
Sania
Makala bomba meridian bet
Issa
Bin hardenhafai