Bingwa wa uzito wa juu duniani Tyson Fury ametia saini kandarasi ya kupambana na Deontay Wilder kwa mara ya tatu, promota wa Kimarekani wa masumbwi ameripoti Jumapili.

Alisema kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter kwamba pambano litafanyika Las Vegas mwezi Julai 24, na video inayoonyesha Fury akisaini mkataba.
Fury alimbonda Wilder katika raundi ya saba huko Las Vegas mwezi Februari mwaka jana kuchukua mkanda wa WBC kutoka kwa Mmarekani. Pambano lao la kwanza,lifanyika Desemba 2018, na lilimalizika kwa sare.
Fury alikuwa amefungwa kimkataba kutimiza pambano la tatu na Deontay Wilder, na kwamba ilibidi ifanyike mwezi Septemba 15.
Fury alikuwa amepanga kupigana na Anthony Joshua, anayeshikilia taji la WBA, WBO na IBF, huko Saudi Arabia mwezi Agosti 14 kwa ubingwa wa uzito wa juu lakini hiyo ilibidi ifutwe.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.