Tyson Fury amesema kwamba tayari alishamalizana na hasimu wake bingwa wa zamani wa WBC Deontay Wilder baada ya kumpiga mara mbili. Amesema alikubaliana na seven dates kwaajili ya pambano lao la tatu, lakini pambano hilo lilishidikana kutokea.

Kwa rekodi, mpatanishi ndiye atakayeamua ikiwa Fury (30-0-1, 21 KOs) anaweza kuondoka kwenye mkataba wake wa marudiano na Wilder (42-1-1, 41 KOs). Kwa madai ya Fury kwamba alimpiga Wilder mara mbili, alimpiga mara moja tu kwenye mchezo wa marudiano mwaka 2020.
Pambano la kwanza Wilder-Fury lililokuwa na raundi 12 na matokeo yalikuwa sare lakini mashabiki wengi wa ndondi walidai Wilder alipaswa kuwa mshindi wa mechi hiyo kwa sababu alimuangusha Fury katika raundi ya 12, na ilihatarisha sana sababu mwamuzi alimuhesabia Fury wakati alipokuwa chini.

” Naweza kusema kwamba ukurasa ulisha malizika, nilimpiga mara mbili katika mapambano yetu,” Fury aliiambia ESPN.
“Nilikubaliana kuhusu seven dates, lakini makataba ulifika ulikufa. Hakuna pambano kati yangu na Wilder,” Fury alisema.
Bado haijawekwa wazi kama Fury alikubaliana na seven dates kwaajili ya kupigana na Wilder kama anasema hivyo. Kimsingi menejimenti ya Team Wilders watakuwa wanajua kuhusu stori hii.
TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET
BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.



Caroline
Hongera zakee
Sarah
Vizuri
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri
Venerose
Safi sana
Adelta
Vizuri Sana
Rahma
Safi
Hopemwaikuka
Inapendezaa
Sadick
Wilder hana chake tena bila shaka anataka kutengeneza pesa tena kupitia jina la Fury
warda
Namkubali sana Wilder