Marudiano Kati Usyk na Joshua Kujulikana Wiki Mbili Zijazo

Tarehe ya Pambano la maraudiano kati ya bondia Anthony Joshua dhidi ya Oleksandr Usyk inatarajiwa kuwekwa wazi baada ya wiki mbili zinazokuja amesema promota wa  Usyk Alexander Krassyuk.

Marudiano Kati Usyk na Joshua Kujulikana Wiki Mbili Zijazo

Joshua alipoteza mikanda ya ubingwa wa WBA WBO na IBF mwaka jana Septemba katika uwanja wa Tottenham Hotspur kikiwa ni kipigo cha pili kwa bondia huyo  wa Uingereza.

Joshua alianza kumaandalizi kwaajili ya pambano la marudiano lakini mipango ilienda mlama na kubaki katika sintofahamu kufuatia Usyk kujiunga na taifa lake katika kuilindi Ukraine baada ya Urusi kuivamia nchi hiyo.

Lakini jmwezi Machi Usyk alithibitisha kwamba ameanza mazoezi kwaajili ya pambano la marudiano ambapo Krassyuk alipendekeza kufanyika Saudi Arabia mwishoni mwa mwezi Juni.

Promota wa Usyk Krassyuk alitoa alisema siku ya Jumatatu alipoambia Sky Sports: “Ndani ya wiki mbili zijazo tunatarajia kukamilisha maelezo.”


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe