Sulaiman: Kila Mtu Anataka Kupigana na Canelo

Rais wa WBC Mauricio Sulaiman ameweka wazi kwamba kila mtu atanaka kupugana na bondia Canelo Alvarez ili apate kutengeneza pesa amesema hayo kuelekea pambano lake na Dmitry Bivol tarehe 7 mwezi Mei.

Sulaiman: Kila Mtu Anataka Kupigana na Canelo

“Canelo yuko katika nafasi ya kipekee. Unapaswa kuwa mtulivu, ni wazi kila mtu anataka kupigana na Canelo, ni pambano linalosuluhisha maisha yako kifedha,” Sulaiman aliieleza TUDN.

“Canelo yuko nje ya kanuni za kawaida kwa sasa, ndiyo maana dhana ya franchise iliundwa; yeye ni kama Floyd [Mayweather], [Julio Cesar] Chavez na Sugar Ray Leonard, magwiji hawa wote ambao wako nje ya kawaida.

“Canelo ana ajenda ya mwaka huu, kuna uwezekano mkubwa. Suala ni kutokukata tamaa, kuna mapambano ya kutosha kwa Canelo kwa kila mtu, na kwa muda mrefu.”


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe