Jumapili bomba imemalizika kwa mtindo wake ligi mbali mbali barani Ulaya zilikuwa zinaendelea Ligue 1, LaLiga, EPL Bundesliga na nyingine nyingi.Baada ya dakika tisini haya ndio matokeo ya mechi mbali mabli.
Barcelona 1-2 Real Madrid
El Classico ya kwanza bila uwepo wa Christiano Ronaldo wala Lionel Messi Madrid iliendelea kuionea Barca na kuondoka na alama zote tatu huko Camp Nou, na kujikita kileleni mwa LaLiga kwa jumla ya alama 20 katika mechi 9.
West Ham 1-0 Tottenham
Wagonga nyundo wa London waliendeleza ubabe wa London debi dhidi ya Tottenham goli pekee lililofungwa na Michail Antonio dakika ya 72 ya mchezo. Vijana wa Moyes sasa wamejongea mpaka nafasi ya nne katika Premier League baada ya michezo 9.
Manchester United 0-5 Liverpool
Macho ya wapenzi wa kabumbu ulimwenguni kote yaliekea katika dimba la Old Trafford kushuhudia mechi kati ya Manchester United dhidi ya Liverpool na Liverpool kuibuka na ushindi mnono wa bao 5-0 mabao yaliyowekwa kambani na Nabi Keita(5′) Diogo Jota(14′) Mohammed Salah (38′ 45+5′ 50′) katika mchezo huo Paul Pogba alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 60 ya mchezo.
Matokeo
Premier League
Brentford 1-2 Leicester City
West Ham 1-0 Tottenham Hotspur
Manchester United 0-5 Liverpool
LaLiga Santander
Sevilla 5-3 Levante
Barcelona 1-2 Real Madrid
Serie A
Atalanta 1-1 Udinese
Fiorentina 3-0 Cagliari
Verona 4-1 Lazio
Bundesliga
FC Cologne 2 – 2 Bayer Leverkusen
Stuttgart 0-1 Union Berlin
Ligue 1
Nice 3 – 2 Lyon
Lens 4 – 1 Metz
Lorient 1 – 1 Bordeaux
Reims 1 – 2 Troyes
Rennes 1 – 0 Strasbourg
Monaco 3 – 1 Montpellier
Mchezo wa Big Bad Wolf ni moja ya michezo pendwa katika kasino zetu za meridianbet. Ukiachana na tabasamu utakalolipata wakati wa kucheza pia unajiwekea nafasi ya kuwa mshindi wa mkwanja mrefu unaotoka kila baada ya mzunguko kukamilika.