Mshambuliaji wa Manchester United Christaino Ronaldo amesema kwamba anatumaini la kuendelea kucheza mpira wa miguu kwa miaka minne mpaka mitano.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno ambaye mwezi huu Februari alitimiza miaka 37 amekosolewa baada ya kuonyesha kiwango cha chini ubora wake akiwa meweka kambani mabao 15 katika michezo 29 kwenye michuano yote.

“Najua sio miaka mingi imesalia kabla sijaacha kucheza, natumai minne au mitano zaidi, lakini natumai nitaendelea kushinda,” Cristiano Ronaldo alisema wakati wa mahojiano na DAZN.


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa