Ruud van Nistelrooy Ammwagia Sifa Depay

Akiwa kama sehemu ya makocha wa Frank de Boer wa Euro 2020, Ruud van Nistelrooy ameweza kufanya kazi kwa karibu na Memphis Depay, na nyota huyo wa zamani wa Manchester United amehitimisha kuwa usajili mpya wa Barcelona ni mchezaji ambaye ana hamu ya kuwa bora.

Wakati alipokuwa akifanya kazi ndani ya Uholanzi tangu Desemba 2019, wakati Ronald Koeman alipomuita kwenye nafasi ya ukocha, sasa kwenye Euro 2020 ambapo amemwona Memphis karibu sana.

“Memphis ni mtu ambaye naona ana umakini maalum,” Van Nistelrooy alielezea katika mkutano na waandishi wa habari.

“Ana hamu ya kuwa bora katika timu anayocheza. Ni jambo ambalo ninaona ni zuri kulitazama.”

Uholanzi imesonga kwa urahisi katika awamu ya mtoano na sasa itakabiliana na Jamhuri ya Czech, lakini wakati  wakiangalia kumzuia Patrick Schick atakuwa mstari wa mbele katika mipango ya timu hiyo, Van Nistelrooy tena alichagua kuangalia michango iliyotolewa na washambuliaji hadi sasa.

“Memphis na Georginio Wijnaldum wameonyesha kile wanachoweza kufanya, ni dhahiri, takwimu hazina uwongo,” Van Nistelrooy aliongeza.


USHINDI BILA MIPAKA!

Hakuna mipaka ya ushindi kwenye Keno Instant ya meridianbet Kasino, hii wewe ndiyo una uamuzi zaidi juu ya mchezo na nafasi ya machaguo kibao.
Arsenal, Arsenal Wawasilisha Ofa ya Pili Joaquin Correa., Meridianbet

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.