Uchambuzi EPL: Manchester City vs Tottenham

Inapofika wikendi basi wapenzi wa soka ulimwenguni ni siku yao ya kujidai kushuhudia timu zao zikchuana na timu pinzani, EPL ni ligi ambayo huongozaa kwa kutizamwa na watu wengi zaidi hii nikutokana na ubora wa timu zinashiriki ligi hiyo. Hapa avha tuchambue mechi ya Manchester City dhidi ya Tottenham itakayopigwa leo saa 2:30 usiku.

Uchambuzi EPL: Manchester City vs Tottenham

Man City watakuwa wakitafuta kujiimalisha zaidi katika mbio za kutetea ubingwa wa EPL wakiwa alama 9 mbele ya Liverpool waliyo nafasi ya pili wakati wapinzani wao wameketi kwenye nafasi ya nane.

Spurs imetoka kupoteza dhidi ya Wolves wikendi iliyopita wakati City wao wamekuwa na moto baada ya kushinda mchezo wa ligi wikendi hiyohiyo na kuichabanga Sporting CP bao 5-0 kwenye michauno ya Ligi ya Mabingwa.

Taarifa ya Timu

Kyle Walker anatarajia kur ejea baada ya kumaliza adhabu yake ya kadi nyekundu iliyopelekea kukosa mchezo wa ligi na UCL katikati ya wiki.

Jack Grealish na Gabriel Jesus ni kama watakosa mchezo wa leo kutokana na majeraha yanayowakabili hivyo Mahrez, Foden na Sterling wataimalisha safu ya ushambuliaji vilvile Gundogan anatarajiwa kucheza eneo la kiungo.

Kwa upande wa Spurs Eric Dier amerejea kwenye mazoezi hivi karibunihivyo anatarajiwa kuanza lakini Japhet Tanganga hayupo wakati Oliver Skipp pia hapatikani.

Emerson Royal na Sergio Reguilon watacheza kama beki za pembeni wakati Lucas Moura atasalia kwenye nafasi yake akishirikiana na Son Heung-min pamoja na Harry Kane katika safu ya ushambulizi na  Dejan Kulusevski anaweza kutokea benchi.

Kikosi cha Manchester City kinachoweza Kuanza: Ederson; Walker, Dias, Laporte, Cancelo; De Bruyne, Rodri, Bernardo; Mahrez, Foden, Sterling

Kikosi cha Tottenham kinachoweza Kuanza: Lloris; Romero, Dier, Davies; Emerson, Hojbjerg, Bentancur, Reguilon; Lucas, Kane, Son

Weka Jamvi Lako Hapa


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

 

Acha ujumbe