F1 2022, Chanjo Ni LAZIMA.

Wakati dunia ikiendelea kupambana na kirusi cha Covid-19, mwaka 2022 kwenye mashindano ya Formula 1 (F1), kuchanja ni lazima.

Suala la chanjo ya uviko-19 limekuwa ni gumzo sehemu nyingi ulimwenguni. Wapo wanaokubaliana na zoezi hilo, na wapo wanaolipinga wakihoji uhalali na uhakika wa chanjo hizo.

Kwenye NBA na Tenesi ni miongoni mwa michezo ambayo, chanjo ya uviko-19 inapewa kipaumbele na, F1 watafanya hivyo msimu huu.

Hii ni baada ya makubaliano ya kurahisisha utaratibu wa kujilinda na Covid-19 ambapo, FIA ilikubaliana mwaka jana.

Ulazima wa kuchanja utakuwa ni kwa watu wote watakaohusika na michezo ya F1 mwaka huu bila kujali nafasi/kazi zao kwenye mashindano. Pamoja na hayo, uongozi wa Formula 1 utazingatia taratibu za nchi washiriki wa mashindano hayo ili kuendana na juhudi za kujilinda na maambukizi ya virusi hivyo.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe