Kati ya Hawa, Yupi Kumrithi Edison Cavani?

Manchester United imeripotiwa kuandaa orodha fupi ya wachezaji wanne ambao wanaweza kuwa warithi wa nafasi ya Edison Cavani.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uruguay ni mchezaji ambaye klabu hiyo inaweza kuishia kumpoteza mara dirisha lijalo la mwezi Januari litakapofunguliwa, huku Barcelona wakionesha nia na huduma yake.

Cavani kwa sasa ni majeruhi, lakini amecheza mara tano pekee kwenye mechi za Ligi Kuu msimu huu, akiwa amewachangia bao moja Mashetani Wekundu.

Cavani
Hata hivyo, kwa mujibu wa The Express, orodha ya wachezaji wanne imeundwa ikijumuisha Erling Braut Haaland wa Borussia Dortmund, Joao Felix wa Atletico Madrid, Alexander Isak wa Real Sociedad na Timo Werner wa Chelsea.

Wachezaji wote wanne wamethibitisha kuwa ubora wao golini mabao katika maisha yao ya soka barani Ulaya, licha ya kuwa bado wanatamani kusalia na Cavani, klabu hiyo ina uwezekano wa kusajili mchezaji mojawapo ikiwa tu ataondoka.

Mashetani Wekundu wanacheza na Norwich City Jumamosi hii wakitarajia kuendelea na mchezo wao wa bila kupoteza chini ya Ralf Rangnick.


AGENT JANE BLONDE AMEREJEA MSIMU WA SIKUKUU.

Unaweza kujishindia mamilioni katika kasino yako pendwa ya meridianbettz, mchezo wa Agent Jane Blonde Return ni moja ya michezo inayopendwa kwasasa huku ikiwafanya wachezaji kuwa mamilionea kila siku. Unasubiri nini! ungana na Agent Jane Blonde akufanye milionea.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe