Povetkin Aanza Maandalizi ya Pambano la Marudiano na Whyte.

Alexander Povetkin ameanza mazoezi kwaajili ya maandalizi ya pambano la marudiano dhidi ya Dillian Whyte litakalo pigwa Novemba 21 baada ya Povetkin kushinda kwa KO pambano la awali mwanzoni mwa majira ya msimu wa joto.

“Kila kitu kinaenda kutokana na mipango, tumeanza kufanyia kazi mechi hii,” alisema mwalimu wa Povetkin Ivan Kirpa.

“Tunafanyia kazi mbinu za Whyte hasa hii konde la kushoto, mara nyingi amekuwa akitumia mbinu hii katika kila pambano lake.

Promota wa Povetkin Andriy Rybinskiy amekanusha kwamba bondia huyo wa Urusi alikuwa katika hatihati za kupiga chini pambano hilo la marudiano baada ya pambano la kwanza Povetkin kuangushwa chini mara mbili.

Povetkin Aanza Maandalizi ya Pambano la Marudiano na Whyte.

“Hakuna lolote zaidi ya uvumi,” Ryabinskyi aliiambia Sky Sports.

“Kweli raundi ya nne haikuwa nyepesi na ilitufanya tupate wasiwasi lakini Sasha alijisikia vizuri tu alikuwa kama ameshitushwa tu. Nadhani pia aliulizwa baada ya kuangushwa: ‘Upo sawa? Tuaweza kuendelea na pambano?

Whyte aliiambia Sky Sports: “Nilitawala pambano nilimdondosha chini na konde ambalo hata halikumfikia sawasawa.

“Nahitaji kuwa na subira, kuwa na umoja na kubadilika na kuitumia vyema ngumi zangu.

Whyte aliendelea kwa kusema:Baada ya kuripiza kisasi atakaye fuata ni Tyson Fury.

Fury amekubaliana na bingwa wa IBF,WBA na WBO Anthony Joshua mapambano mawili mwaka 2021 iliapatikane bingwa aliyeshindikana.

Lakini pambano lake lijalo lipo hewani – Fury amesema kwamba pambano lake na Deontay Wilder ambalo lililengwa kupigwa mwezi Disemba halitakuwepo tena sababu Mmarekani huyo ametaka lisogezwe mpaka mwaka unaofuata.


 

Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

 

28 Komentara

    Mpambano huu utakuwa sio wa kitoto lazima KO zitakuwa za kutosha tu

    Jibu

    Hii si ya kukosa

    Jibu

    Bonge la mtanange ilo utakua

    Jibu

    Mpambano uko vizuri ngoja tusubiri tuone itakavyokuwa

    Jibu

    Nadhani wakati huu Dillian Whyte ana nafasi ya kufanya vzr wakati huu

    Jibu

    Tunasubiri kwa hamu tuone mtanange huo

    Jibu

    huu mtanange utakuwa mzito sana

    Jibu

    Maandalizi mema

    Jibu

    Hili ni pambano ambalo dwilan whyte atahitaj kulinda heshima yake

    Jibu

    huu mpambano utakua mkari sana

    Jibu

    Dwylian whyte atalinda rekod kwny pambano hili

    Jibu

    🔥

    Jibu

    Tunasubiria kwa hamu

    Jibu

    Tusubili kwa hamu

    Jibu

    Nasubiri nione mtu anavyo pasuka

    Jibu

    Mtanange wa kibabe ukikosa shauli yako

    Jibu

    Mambo ni moto masubwi

    Jibu

    Mpambano huu utakuwa sio wa kitoto

    Jibu

    Litakua pambano la kisasi

    Jibu

    utakua mpambano mkali

    Jibu

    Vizuri Sana pambano lakibabe hilo

    Jibu

    Don’t miss it.

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Pambano la kufa mtu

    Jibu

    Dillian Whyte atarudi kwa hasira zaidi Povetkin ajipange

    Jibu

    Mpambano huu utakuwa sio wa kitoto lazima KO zitakuwa za kutosha tu

    Jibu

    💪🏿

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.