Neville Aachana na Timu ya Wanawake ya England.
Daily News

Phil Neville amejiuzulu kama kocha wa timu ya taifa ya England ya wanawake kabla ya kuteuliwa kuwa kocha mpya na klabu ya MLS Inter Miami. Miaka mitatu ya Neville aliyoongoza …

Soma zaidi
FIFA Yapiga Chini Rufaa ya Atletico kwa Trippier.
Daily News

FIFA imekataa rasmi rufaa ya Atletico Madrid dhidi ya adhabu ya kufungiwa wiki 10 kutojihusisha na soka kwa Kieran Trippier. Shirikisho kuu la mpira wa miguu ulimwenguni lilithibitisha habari hiyo …

Soma zaidi
Unstoppable De Bruyne Afikisha Asisti ya 100.
Daily News

Kevin De Bruyne alitengeneza asisti ya 100 kwa Manchester City kwenye mashindano yote na krosi nzuri ambayo iliunganishwa ufunguzi wa John Stones dhidi ya Crystal Palace. Kwa kuwa hapo awali …

Soma zaidi
Chan 2021: Tanzania Kuwanyamazisha Zambia
Chan

Kuelekea mashindano ya Chan 2021, Tanzania inaamini inauwezo wa kuwanyamazisha Zambia (Chipolopolo). Hii ni kwa mujibu wa Nadir Haroub “Cannavaro”. Taifa Stars imepangwa kundi D kwenye mashindano ya Chan 2021 …

Soma zaidi
GSM: Tunaipeleka Yanga Ligi ya Mabingwa Afrika.
Daily News

Mkurugenzi uwekezaji wa kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Yanga, amefunguka kuwa shabaha yao katika usajili mkubwa walioufanya msimu huu ni kuhakikisha kikosi hicho kinashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika …

Soma zaidi
Australian Open: Wachezaji 72 Kukaa Karantini.
Tennis

Bado kumeendelea kuripotiwa visa kadhaa vya COVID19 nchini Australia. Kuelekea mashindano ya Australian Open 2021, wachezaji 72 kukaa karantini. Hii ni baada ya kuripotiwa matokeo chanya ya vipimo vya COVID19 …

Soma zaidi
Ratiba ya Soka Leo Ligi Mbalimbali.
Daily News

Ratiba Soka Leo Ligi Mbalimbali Tarehe 18 January 2021. Ratiba: England – Premier League 23:00 Arsenal vs Newcastle United Italy – Serie A 22:45 Cagliari vs AC Milan Portugal – …

Soma zaidi
Marcelino: Pongezi Zote ni Kwa Wachezaji!
Football

Vita ya Barcelona na Athletic Bilbao kwenye fainali ya Supercopa de Espana dimbani La Cartuja haikuwa ya kitoto. Marcelino anasema pongezi ziwaendee vijana wake kwa kazi nzuri na kuendana na …

Soma zaidi
Tyson Fury vs Anthony: Inangojwa Tarehe Tu!
Boxing

Pambano kubwa la kabisa la ndondi linalosubiriwa kwa hamu ni kati ya Tyson Fury vs Anthony, kwa mujibu wa promota Bob Arum, tayari mipango ya awali imekamilika na sasa wanaelewa …

Soma zaidi
EPL: Mambo Yananoga Kuelekea Katikati ya Msimu 2020/21.
Daily News

Wiki hii tunaugawa msimu wa EPL. Kuelekea michezo ya wiki ya 19 kwa msimu wa 2020/21, mambo yanazidi kunoga. Michezo iliyochezwa wikiendi iliyopita, imetoa picha nyingine kwenye msimamo na muenendo …

Soma zaidi