polisi - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Unbakumbuka Kisa cha McGregor na Shabiki?

Boxing

McGregor alijipindua na kumletea ubabe shabiki wake! Mpiganaji wa ndondi mchanganyiko McGregor aliwekwa kizuizini na na polisi wa America Machi 2020 baada ya kuripotiwa kuwa alipokonya na kuivunja kwa makusudi …

Henry Apiga Goti Kumuenzi Floyd

Daily News

Legendari wa Arsenal, Thierry Henry alipiga goti kwa dakika nane na sekunde 46 kama taarifa ya kuunga mkono juhudi za Black Lives Matter. Henry alikuwa kocha wakati Montreal Impact wakicheza …

Odoi yuko Huru

Daily News

Callum Hudson-Odoi hatachukuliwa hatua yoyote kuhusu shtuma zake dhidi ya ubakaji, winga wa Chelsea amethibitisha. Hudson-Odoi, 19, alikamatwa Mei 17 na kuruhusiwa kwa dhamana. Mchezaji huyo wakimataifa wa Uingereza ameandika …

DFB – Sancho Hatachukuliwa Hatua Yoyote

Bundesliga

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Jadon Sancho na wachezaji wengine wa Bundesliga hawatachukuliwa hatua zozote za kinidhamu baada ya kutoa maneno ya kupinga ubaguzi wakati wa mechi wikiendi iliyopita. Mchezaji wa …

Delle Alli Avamiwa Jijini London

Football

Mshambuliaji wa Tottenham, Delle Alli alivamiwa na wezi Jumatano asubuhi akiwa nyumbani kwake London. Nyota huyu alipigwa usoni na wavamizi wawili waliokuwa na silaha, na kuamuru kutolewa kwa vitu vyote …

1 2 3 13 14 15 16 17