AUCHO, PACOME, YAO KUWAKABILI MAMELODI
SOKA LA BONGO

NYOTA watatu wa Yanga ambao walikosena kwenye mchezo uliopita dhidi ya Mamelody Pacome Zouzoua, Khalid Aucho na Yao Attahoula wanatarajia kuwa sehemu ya wachezaji watakaocheza mechi ya marudiano. Msemaji wa …

Soma zaidi
Manchester City Kuwakosa Watatu Dhidi ya Aston Villa
Daily News

Klabu ya Manchester City itaendelea kuwakosa nyota wake watatu wa kikosi cha kwanza kuelekea mchezo wao wa ligi kuu ya Uingereza utakaopigwa kesho dhidi ya klabu ya Aston Villa. Wachezaji …

Soma zaidi
Ange Postecoglou Malengo Makubwa Spurs
Daily News

Kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs Ange Postecoglou ameweka wazi malengo yake ndani ya klabu yake kuelekea msimu ujao ambapo ana mipango mikubwa zaidi ya msimu huu. Ange Postecoglou amesema …

Soma zaidi
Barcelona Kuipindua Liverpool kwa Amorim
La Liga

Klabu ya Fc Barcelona inaelezwa inakaribia kuipindua klabu ya Liverpool katika kumuwania kocha wa klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno Ruben Amorim ambaye anawaniwa na klabu ya Liverpool. Barcelona mwishoni …

Soma zaidi
Arteta: Timber Yuko Mbioni Kurejea
Daily News

Kocha wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta ameweka wazi juu ya taarifa za urejeo wa beki wake Jurien Timber ambaye amekua na majeraha kwa muda mrefu sasa. Kocha Arteta amesema …

Soma zaidi
Manchester City Vs Arsenal Ngoma Droo
Daily News

Mchezo wa kibabe kabisa ambao ulikua unasubiriwa na mashabiki wa soka kati ya klabu ya Manchester City dhidi ya Arsenal umemalizika kwa sare ya bila kufungana jioni hii. Mchezo huo …

Soma zaidi
De Zerbi Kutimka Brighton
Daily News

Kocha wa klabu ya Brighton Hove and Albion raia wa kimataifa wa Italia Roberto De Zerbi ameweka wazi hana mpango wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao baada ya …

Soma zaidi
Liverpool Yafuta Uteja kwa Brighton Yakwea Kileleni
Daily News

Klabu ya Liverpool leo rasmi imefanikiwa kufuta uteja kwa klabu ya Brighton Hove and Albion baada ya kufanikiwa kupata matokeo ya ushindi wa mabao mawili kwa moja mapema leo. Liverpool …

Soma zaidi
Rafael Leao Bado Yupo Milan
Serie A

Winga matata raia wa kimataifa wa Ureno Rafael Leao anayekipiga klabu ya Ac Milan inayoshiriki ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A ameweka wazi kua bado yupo sana ndani …

Soma zaidi
Inter Kuchuana na Arsenal Kumnunua Beki wa Fiorentina, Kayode
Serie A

Kulingana na La Gazzetta dello Sport, mlinzi wa Fiorentina, Michael Kayode ni mmoja wapo wa walengwa wa Inter kuchukua nafasi ya Denzel Dumfries, mradi tu beki huyo wa pembeni wa …

Soma zaidi
1 2 3 14 15 16 17 18 19 20 2,046 2,047 2,048