polisi - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Polisi Kuwachunguza Crystal Palace

Daily News

Polisi kufanya uchunguzi baada ya mashabiki wa klabu ya Crystal Palace kuonesha bango wakiwakosoa wamiliki wapya wa klabu ya Newcastle United wanaotoka Saudi Arabia. Newcastle United hivi karibuni iliuzwa na …

Polisi Tanzania Yapata Ajali Moshi

Daily News

Klabu ya Polisi Tanzania imepata ajali leo asubuhi wakati ikitoka mazoezini kurejea kambini huko Moshi mkoani Kilimanjaro. Kwa mujibu wa shuhuda [hakutaka jina lake litajwe] ameeleza kuwa, gari liliacha barabara …

SIMBA KUIKABILI AL AHLY KWA MKAPA

SOKA LA BONGO

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally ameweka wazi kuwa wanatambua ugumu uliopo kwenye mashindano wanayocheza lakini wapo tayari kuona kwamba wanashinda mchezo huo ambao ni muhimu …

AZAM FC NAO WAMPIGA MTU MKONO

SOKA LA BONGO

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanaingia kàtika orodha ya timu ambazo zimepata ushindi mkubwa katika mechi za Azam Sports Federation ikiwa ni raundi ya tatu. Ubao wa Uwanja wa Azam …

MAUYA KUWAKOSA BELOUZDAD

SOKA LA BONGO

Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya CR Belouizdad wa Ligi ya Mabingwa Afrika ni Zawadi Mauya pekee ndio …

ZAHERA AIBUKIA NAMUNGO

SOKA LA BONGO

Klabu ya Namungo imemtambulisha Mwinyi Zahera kuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Baada ya aliyekuwa Kocha wa Timu hiyo Denis Kitambi kutimkia Geita Gold FC. Namungo kutokea mkoani Lindi, imemchukua …

Mdamu Bado Ana Ndoto za Kucheza Mpira

SOKA LA BONGO

NYOTA Gerald Mdamu aliyewahi kukipiga ndani ya Polisi Tanzania bado anapambania hali yake ili kurejea kwenye ubora wake mdogomdogo baada ya kuumia mguu walipopata ajali ya gari wakitokea mazoezini. Julai …

Baba yake Luiz Diaz Aachiwa

Daily News

Baba wa mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Luiz Diaz ameachiwa baada ya kushikiliwa na vikundi vya kihalifu huko nchini Colombia kwa takribani siku kumi na mbili. Baba wa Luiz Diaz …

1 2 3 4 5 6 7 15 16 17