Kocha wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta amesisitiza kuwa mlinzi wa klabu hiyo anayeichezea Marseille  William Saliba inampasa kurudi klabu hapo kama alivyopanga ili kuweza kuboresha nafasi ya ulinzi kwa msimu ujao.

Saliba ameitumikia klabu ya Marseille kwa mkopo wa muda mrefu msimu na amefanikiwa pia kuweza kuchaguliwa mchezaji bora kijana wa mwaka kwenye ligi Ligue 1, lakini hatma yake mpaka sasa bado haijajilikana huku yeye akitaka kubaki kwenye klabu hiyo lakini arsenal wanahitaji arudi London.

Mikel Arteta, Mikel Arteta: William Saliba Anarudi Arsenal, Meridianbet

Mikel Arteta amethibitisha kuwa mchezaji huyo atarejea London muda wake wa mkopo utakapo kwisha kwenye klabu ya Marseille mwezi ujao.

Mikel Arteta aliambia RMC Sport, “anapaswa kurudi. ameshapata uzoefu wa mazingira ya ushindani tunayohitaji. Kama atakaa na sisi mwaka huu, kwenye michezo ya ligi kuu  kila wiki, akiwa na Ben White na Gabriel, hata weza kucheza nusu ya michezo aliyokuwa akicheza Marseille, hili ndilo la uhakika.

“Kwa maendeleo yake na anachoweza kufanya kwa msimu ujao ambao hautaweza kuwa mzuri. Wiliam hakukwa na sisi kwa sababu asingepata nafasi ya kucheza na kupata uzoefu. Hivyo ndivyo ilivyo hakuna kingine. Tumefanya maamuzi sahihi.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa