Cristiano Ronaldo amefikisha alama nyingine ya kihistoria hapo siku ya jana baada ya kufunga bao la 800 katika maisha yake ya soka.

Hatua hiyo ilifikiwa na mechi dhidi ya Arsenal – Marcus Rashford akimpasia mpira kwenye miguu ya nguli huyo wa Ureno, ambaye alifunga kwa mguu wa kulia.
Huku mchezo ukiwa na uwiano mzuri wa mabao 2-2, supastaa huyo wa Ureno alifunga bao lililoonekana kuwa la ushindi kwa mkwaju wa penati zikiwa zimesalia dakika 20 mpira kumalizika.
Mshindi huyo mara tano wa tuzo ya Ballon d’Or sasa amefunga mabao 686 kwa klabu za Sporting, Manchester United, Real Madrid na Juventus, huku mabao mengine 115 akiwa na Ureno – hakuna aliye na zaidi yake kwenye hatua ya kimataifa katika historia ya mchezo wa soka.
Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.


