BEKI kitasa wa Manchester United Harry Maguire ambaye hivi karibuni alihusishwa na kutakiwa Chelsea kwa mabadilishano ya mchezaji Christian Pulisic lakini kwa taarifa zilizopo ni kwamba hakuna mazungumzo yanayoendelea kari ya pande hizo mbili.

maguire, Harry Maguire Bado Yupo Sana Manchester United., Meridianbet

Taarifa iliyotolewa na moja ya waandishi wakubwa Fabrizio Romano ameandika kuwa hakuna makubaliano kati ya Manchester United na Chelsea kuhususiana na beki huyo, hivyo Maguire ataendelea kusalia Manchester United.

maguire, Harry Maguire Bado Yupo Sana Manchester United., Meridianbet

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa