Lautaro Martinez Haendi Barcelona -zanetti.

Lautaro Martinez hatoondoka Inter hali ya kuwa Barcelona iliripotiwa kuvutiwa na mchezaji huyo hii ni kwa mujibu wa makamu wa rais wa Inter Javier Zanetti.

Martinez alikuwa kwenye tetesi kubwa za kujiunga na miamba ya LaLiga Barcelona na wakati janga la Corona likiathiri uchumi wa vilabu vingi lakini uvumi huo uliendelea.

Mshambuliaji huyo kutoka Argentina alifunga magoli 21 katika mashinfdano yote na Inter wakiwa wamemaliza nafasi ya pili kunako Serie A pia walifika faiinali ya Europa League dhidi ya Sevilla msimu uliyopita.

Lautaro Martinez Haendi Barcelona -zanetti.
Lautaro Martinez

“Lautaro hatoondoka Inter,” Zanetti aliiambia Fox Sports. Ni Barcelona pekee ambao wanamuhitaji, lakini Lautaro anajua tayari yupo katika klabu kubwa.

“Anaonekana mwenye furaha hapa Italia, nadhani ataendelea kuwepo hapa.

“Kwa sasa hawezi kuondoka, ni mchezaji wa hatma yetu ya sasa na baadaye.

Timu ya Inter Milan inayo nolewa na mwalimu Antonio Conte watacheza mchezo wa ufunguzi katika Serie A wakiwa nyumbani dhidi ya Fiorentina Septemba 26.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

41 Komentara

    Martinez alikuwa kwenye tetesi kubwa za kujiunga na miamba ya LaLiga Barcelona na wakati janga la Corona likiathiri uchumi wa vilabu vingi lakini uvumi huo uliendelea lakini kwa mujibu wa nafs yake ataendelea kusalia inter.

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Lautaro Ni maamuzi yake mwenyewe@meridianbettz

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa inter

    Jibu

    Inter Milan imeweka juhudi nyingi kutaka kutawala soka la Italy itafanya kosa kumuuza Lautaro Martinez kwenda Barcelona au klabu yoyote kwa sababu itakuwa inajiweka ktk ktk wakati mgumu kufikia lengo lake hilo#meridianbettz

    Jibu

    Achague moja sasa

    Jibu

    Lautaro Bora abaki inter millan

    Jibu

    Bora abaki tu inter

    Jibu

    Martinez alikuwa kwenye tetesi kubwa za kujiunga na miamba ya LaLiga Barcelona na wakati janga la Corona likiathiri uchumi wa vilabu vingi lakini uvumi huo uliendelea lakini kwa mujibu wa nafs yake ataendelea kusalia inter.

    Jibu

    Uamuzi ni wake, kuondoka au kubaki

    Jibu

    Lau uamuz ni wako

    Jibu

    uamuzi anao mwenyewe

    Jibu

    Bora abaki tuu inter

    Jibu

    Habari nzuri kwa mashabiki wa Inter

    Jibu

    Lautaro Martinez alitakiwa kutumia nafasi hii kuchezea timu kubwa kama Barcelona ingeongeza CV kwenye Career yake

    Jibu

    Uwamuzi anao mwenyew tu#Meridianbettz

    Jibu

    Martinez alikuwa kwenye tetesi za kujiunga na Barcelona mda mrefu kabla ya vilabu vingine awajamchukua

    Jibu

    Wamefanya vizuri kutomuuza

    Jibu

    Martinez abaki tu SAnsiro

    Jibu

    fresh endelea kukipiga inter mze

    Jibu

    Habar njema ila achaguee mmoja

    Jibu

    Achague moja sasa#meridianbettz

    Jibu

    Bora ubaki tu inter

    Jibu

    Maisha popote bhanaa

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Uwamuzi ni wake

    Jibu

    Maamuzi niyake

    Jibu

    Yeye mwenyewe na maamzi yake

    Jibu

    Bora abaki tuu

    Jibu

    Kama vipi abaki

    Jibu

    Mwenye kisu kikali ndio atakula nyama Barcelona watulie kidogo wacha akaitumikie inter

    Jibu

    Nilijua inter lazm imkazoe maan inajenga kikos

    Jibu

    janga la Corona likiathiri uchumi wa vilabu vingi lakini uvumi huo uliendelea lakini kwa mujibu wa nafs yake ataendelea kusalia inter.

    Jibu

    Ni afadhalii abaki inter

    Jibu

    Barca wamelikosa jembe hilo.

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Sakata kabumbu watu wnakuelewa!!

    Jibu

    Huyu yuko vizuri Inter hawawezi kumwachia

    Jibu

    Habari njema Asante meridianbet

    Jibu

    Barca imemuwinda ssna mchezaji huyu na inter inaonyesha kama haiwez kumuachia

    Jibu

    Bora Martinez kabaki Milan maana Milan wangepoteza kiungo muhimu sana

    Jibu

Acha ujumbe