Kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp amethibitisha kuwa kosa wachezaji wake nyota watatu kwenye mchezo dhidi ya Southampton, wachezaji hao ni Mo Salah, Virgil van Dijk na Fabinho.

Habari hii imetoka dakika chache kabla ya mchezo huo kuanza, ambapo Liverpool kuwakosa wachezaji hao kwenye mchezo huo muhimu ni pigo kubwa kwa sababu kwenye mchezo wa leo wanahitaji ushindi ili kubaki kwenye kinyanganyiro cha kuwania ubingwa wa ligi kuu.

Klopp anatarajia kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake kutoka kwenye kikosi alichokitumia kwenye mchezo wa fainali ya FA Cup siku ya jumamosi kwenye uwanja wa Wembley.

Salah na van Dijk wote walitokwa kwenye mchezo huo baada ya kupata majeraha, alipozungumza kwenye kikao na waandishi wa habari alinukuliwa akisema. “Virgil harakuwepo kabisa, hii ilikuwa wazi kabisa kabla ya mchezo tayari, tunafikili huu ndio ulikuwa mchezo wake wa kupumzika, kwasababu alifanya kazi kubwa jumamosi.”


 

TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa