Man United Wathibitisha Kudukuliwa

Klabu ya Man United imethibitisha kuwa imefanyiwa udukuzi ambao ulilenga kuathiri zaidi kitengo cha Teknolojia ya Mawasiliano ya Klabu.

Kupitia tamko la klabu, Man United wamebainisha kuwa genge la wahalifu lilifanya njama za kufanya udukuzi na wamejaribu kutekeleza hilo.

United licha ya kutokuwa na uhakika asilimia 100 juu ya taarifa binafsi zinazoweza Kuw zimechukuliwa, wanaamini taarifa binafsi ziko salama mechi yao ya leo dhidi ya West Browmwich Albion itaendelea.

Tamko la klabu linasema

“klabu imechukua hatua stahiki kupambana na shambulio hili na kwa sasa inashirikiana na wataalamu kwa ajili ya kuchunguza jambo hilo na kupunguza athari katika kitengo cha mawasiliano.”

Klabu imesisitiza kuwa suala kama hili lina namna na hatua za kufuata katika kulishughulikia na ndivyo klabu inavyofanya.

Tovuti na App vinaaminika kuwa havijaathiriwa, wasi wasi upo katika taarifa za siri za mashabiki na wateja wa Man United.


 

BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

20 Komentara

    duh united nao siku hizi wamekuwa wazinguaji balaa

    Jibu

    Nic

    Jibu

    Siokitu kizuri walicho fanyiwa man U kwauwarifu wa kiteknolojia krabu Kama krabu itachukua hatua

    Jibu

    Hayo ni majanga

    Jibu

    Wadukuzi wamefanya yao.pole Man U

    Jibu

    Duh

    Jibu

    United hawana jipya

    Jibu

    Huu mwaka wao kila siku majanga tu kwao

    Jibu

    Man u msimu huu hawakuwa vizuri

    Jibu

    Wadukuaj sio watu wazur

    Jibu

    Duh noma sana

    Jibu

    Balaa zito hilo

    Jibu

    Hatari

    Jibu

    Balaa zito, kiujumla msimu united hawakuwa vzr.

    Jibu

    Nomaaaa

    Jibu

    Duuuuh

    Jibu

    Man u hawana jipya sasa

    Jibu

    Duh

    Jibu

    Majanga hayo

    Jibu

    Habari sio poa

    Jibu

Acha ujumbe