Timo Werner Alivutiwa na Chelsea, Amefurahia kuwepo hapa- Lampard

Kocha wa Chelsea, Frank Lampard amesema kuwa, Mshambuliaji mpya wa klabu hiyo, Timo Werner alivutiwa na kuwa na shauku juu ya mipango yake ndani ya klabu ya Chelsea, ndio sababu iliyomfanya akubali kujiunga nao.

“Nilikuwa na mazungumzo mazuri binafsi na Timo” Lampard alisema katika mkutano wa waandishi wa habari Ijumaa.


“Anaelewa mipango yetu ni nini, na kipi tunataka kufanya kama klabu. Tumefurahia ameamua kuja kwetu na kumtarajia kujiunga nae msimu ujao.”

Werner amesaini mkataba wa miaka mitano na The Blues kwa mkataba wenye thamani ya karibu £200,000 kwa wiki. Chelsea wamekubaliana na RB Leipzig kulipa ada ya pauni 47.5m kumsajili Mjerumani huyo.

Werner alimaliza msimu wa Bundesliga wa mwaka 2016- 17 akiwa na magoli 21, na kumfanya kuwa mfungaji bora wa mabao wa Ujerumani na kuisaidia klabu ya RB Leipzig kufuzu katika Ligi ya Mabingwa ya UEFA kwa mara ya kwanza kwenye historia ya klabu hiyo.

Kwa msimu wa 2019-20 pekee ana jumla ya magoli 32 ambapo kwa ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga ana jumla ya magoli 26, mashindano ya uefa 4 na kombe la ligi magoli matatu na kumfanya kua moja ya washambuliaji mahili sana kutoka ujerumani kiasi ya kumvutia Frank Lampard.

55 Komentara

    Tumuombee mazuri akiwa Chelsea

    Jibu

    Safii sana Chelsea kwa mwaka huu mtakuwa hatari sana mko vizuri katika usajili Warner anaweza kabisa

    Jibu

    Timo werner haujakosea chelsea ni bonge la club

    Jibu

    Timo Werner n kiungo mzur sana maana ameonyesha maajabu makubwa sana kutokana na uwezo wake akiwa ujeruman bundasliga msimu wa mwaka 2016/17 na kutimiza magol 21 akiwa RB Leipzig ujeruman bundasliga na msimu wa 2019/20 magol 32 akiendelea kuwa RB Leipzig hivyo lampard mpaka kuona iko poa sana

    Jibu

    Namtabilia kufany mazur zaid

    Jibu

    Good

    Jibu

    Ni mchezaji mzur naiman atafanya makubwa

    Jibu

    Tunamuombea azidi kufanya vzr akiwa pale chelsea

    Jibu

    Tumuombee mazur tu

    Jibu

    Kama mchezaj anakua na furaha kwenda club ambayo moyo wake umependa kwenda kucheza mahali pale swali je lampard ataendelea kua katika mipango yake isiwe msimu mmoja au nusu msimu tuu mara hafai

    Jibu

    Hata hivo Chelsea ni timu nzuri

    Jibu

    kweli alivutiwa na Chelsea maana alifosi sana mpaka kulazimishwa kuuzwa

    Jibu

    Lampard anajipanga vyema kuisuka blues ambayo itakuwa haishikiki

    Jibu

    Chelsea Ni timu nzuri nakukubali sana

    Jibu

    Alivutiwa sana na chelsea maana alifosiwa sana mpaka kuuzwa#meridianbettz

    Jibu

    Habari nzuri kwa mashabiki wa Chelsea

    Jibu

    Chelsea iko vizur sana najivunia kuwa mshabiki wa hiyo timu kwa kwer

    Jibu

    Inaonekana msimu ujao chelsea itakua vizuri sana!

    Jibu

    Chelsea wanajioanga ipasavyo kwenye msimu ujao watakua moto vibaya mno

    Jibu

    Kila lakheri akiwa Chelsea na afanye vizuri.

    Jibu

    Ahsant meridian kwa taarifa

    Jibu

    karibu chamani timo werner

    Jibu

    Kweli alivutiwa na chelsea mahana alifosi mpaka kulazimishwa kuhuzwa

    Jibu

    Asante meridianbet #kwa taarifa

    Jibu

    Kila lenye heri kwake huko chelsea

    Jibu

    Hongera kupata nafasi hiyo nenda ukazidi kufanya vizuri zaidi#meridianbett

    Jibu

    Chelsea watanufaika sana na Timo Werner

    Jibu

    Ajakosea kuchagua klabu kubwa km Chelsea atakuza kipaji chake vzr

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa Chelsea.

    Jibu

    Tunasubiri kuona juhudi zako ndani zaidi ndani ya Chelsea

    Jibu

    Mashabiki tunamsubr kwa hamu..

    Jibu

    Goja tuone mashabiki tunamsubiri

    Jibu

    Chelsea wamepata bomhe la mchezaji na natarajia mengi kutoka kwake kwani yupo fit sana #meridianbettz

    Jibu

    Chelsea wamepata bonge la mchezaji na natarajia mengi kutoka kwake kwani yupo fit sana #meridianbettz

    Jibu

    Kazi imebaki kwa Lampard kumupa nafasi ya kucheza kuonyesha uwezo wake#meridianbettz

    Jibu

    Ametisha sana

    Jibu

    Timo werner ni mchezaji mzuri sana kama ameisadia timu yake ya zamani rb leipzing kufudhu uefa hivyo bhasi sina shaka na timo atafanya hivyo hivyo kwa upande wa chelsea nakubali kazi yake bonge la player

    Jibu

    Werner kama ndio timu ambayo uliipata basi fanya yaliyokuleta

    Jibu

    Chelsea mmeshampata kiungo mahiri sasa kazi kwenu tunataka mrudi katika ubora wenu wa zamani

    Jibu

    Nina imani na Werner atafanya mazuri clubuni hapo tumuombee tu aendane vizuri na hali ya Chelsea

    Jibu

    Dogo anajua sana.. Lkn epl sio kwa mchezo.. #meridianbettz

    Jibu

    Haya Timo unesha makali yako hapo.

    Jibu

    Chelsea kwa mwaka huu mtakuwa hatari sana mko vizuri katika usajili Warner anaweza

    Jibu

    Timo Werner ni mchezaji mzuri na pia huenda anamanzi na Chelsea pia

    Jibu

    Timo Werner mchezaj mzur ili tusimalzeh maneno yte tuwek ya akida

    Jibu

    Ni mchezaj mzur

    Jibu

    nakubali

    Jibu

    Kweli ataenda kicheza kwa kujituma sababu anaipenda timu yake mpya

    Jibu

    Ni usajili mzuri kwa upande wa Chelsea kwani wameimarisha kikosi chao.

    Jibu

    Anajitahidi sana kwa kweli#Meridianbettz

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri atafanya makubwa siku za usoni

    Jibu

    Habar njema hz

    Jibu

    Habari njema kwa chelsea

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.