Chile wamepeleka mashitaka kwenye shirikisho la mpira wa miguu duniani kwa kuiomba timu ya taifa ya Ecuador iondolewe kwenye mashindano ya kufuzu kombe la dunia kwa kudai kuwa mlinzi Bryan Castillo hakupaswa kuchezwa kwa sababu hakuwa na vigezo halali vya kuichezea taifa hilo.
Chile waliwasilisha malalamiko yao kwenye bodi ya kombe la dunia siku ya alhamisi kusihtumu timu ya taifa ya Ecuador kwa kumchezesha mchezaji asiyoruhusiwa kucheza kwenye michezo ya kufuzu kombe la dunia, ambae anasemekana ni mkorombia hakupaswa kulichezea taifa hilo. nakuitaka FIFA kuanza uchunguzi mara moja.
Malalamiko yamekuja mwezi mmoja baada ya mashindano ya kufuzu kwa timu za bara la merika kusini kuisha na Ecuador kupangwa kundi moja na timu za Qatar, Holland na Senegal.
“FIFA imeweza kuthibitisha kwamba imepokea malalamiko rasmi kutoka chama cha soka cha Chile kuhusiana na swala la Ecuador,” waraka kutoka FIFA ulisomeka.
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.