Diego Maradona ambaye ni kocha mkuu wa Gimnasia y Esgrima La Plata, ameruhusiwa kutoka hospitali siku ya Jumatano baada ya kufanyiwa upasuaji wa ubongo.
Maradona alikuwa akiendelea na matibabu tangu afanyiwe operesheni wiki iliyopita baada ya kuwa tatizo la upungufu wa damu na dehydration.
Lakini, picha za kutoka Olivos Clinic iliyopo Buenos zilionesha Muarjentina huyo mwenye umri wa miaka 60 akiondoshwa katika kliniki na gari ya kubebea wagonjwa (ambulance).
“Ingeweza kuchukua maisha yake,” aliongea mwanasheria wake Matias Morla. “Anacho kikosa sasa ni umoja wa familia yake.
“Hali hapa ipo sawa sasa – kuwa na amani na ndugu.
“Wanatakiwa kuheshimiana, kuwaunganisha wageni wanaokuja kumjulia hali kwa sababu katika kesi hii Diego anatakiwa kuendelea kujitizamia na kuwa imara, mmoja anatakiwa kumpa amani na kuungana naye.
Maradona ambaye ameshinda kombe la dunia mwaka 1986 akiwa na Argentina na kuiongoza Napoli kutwaa mataji mawili ya Serie A amepewa mikoba ya kuinoa klabu ya Gimnasia inayoshiriki Superliga tangu mwaka 2019.
Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!



Dorophina
Habari njema hizi kwa klabu yake
magdalena
afadhali kama karuhusiwa
Tatu
Mungu atie nguvu aludi kwenye nafasi yake
Adelta
Mwenyezi mungu awaponye
Carolyn
Good news
Mwajumah
Habari njema hii
Angelina
Habari njema
Samira
Habari njema Mungu aendelee kukuimarisha champ
Elika
Dah afadhar karejea mzigo
Fatina mfigi
Habar njema mungu aendelee kukupa uzima!
Fatuma kasomo
Afazali
Khadija
Tunashukuru mashabiki k
Saupha mohamed
Jambo la kheri
Sabrina
Daah pole sana maradona
felister
Jambo la kheriii
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
Ester jackson
Habari njema hizi
Rahma
Nice
Zeiyana
Diego japo kua hamepona alikini hawezi kurudi kwenye ali yake ile kama ya zamani
Povel
Get well soon
Issa
Matumiz ya madawa ya kulevya. Yamemuathir sana gwiji huyu wa soka