Mlinzi wa LA Lakers Kentavious Caldwell-Pope amefunguka kwamba yeye na kundi la marafiki walivamiwa na majambazi waliokuwa na bunduki nyumbani kwake mapema mwezi huu.
Tukio hilo lilitokea mwezi Juni 17, wakati majambazi watatu walipofika nyumbani kwake saa 04:00, kabla ya kushuka kwenye gari lao na kuelekeza bunduki zao moja kwa moja kwa mchezaji na marafiki zake, ambao walikuwa wakiongea nje ya nyumba wakati huo.
Kulingana na makadirio ya polisi, majambazi waliiba pesa zenye thamani ya dola 150,000, vito, simu za mkononi na saa aina za Rolex za walinzi wa Lakers.
Kwa bahati nzuri, siyo Caldwell-Pope wala marafiki wake waliopata majeraha yoyote.
IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!


