Golikipa wa timu ya Chelsea Edouard Mendy ni miongoni mwa wachezaji wa timu ya taifa ya Senegal ambao wamekutwa na maambukizi ya UvIko-19 kabla ya kuanza kwa michuano ya mataifa huru Afrika.
Edouard Mendy, kapteini Kalidou Koulibaly na mshambuliaji Famara Diedhiou wamepatikana na maambukizi ya Uviko-19 baada ya kufanya vipimo na majibu kutoka jana Jumamosi kuwa wana maambukizi ya Uviko-19 baada ya kupima kwa kikosi cha timu ya taifa ya Senegal kabla ya saa 48.

Wachezaji wote watatu hawataweza kucheza mchezo wa Jumatatu dhidi ya Zimbabwe, isipokuwa kama watapima tena baadae na kukutwa hawana maambukizi na kuthibitisha kuwa kipimo cha kwanza kilikosea.
Timu ya taifa ya Senegal awali kabla ya kusafiri kwenda Cameroon walikuwa na wachezaji watatu na bechi la ufundi sita, ambao walikuwa na maambukizi. Timu 24 zinajiaanda kucheza mixhezo yao ta mataifa huru afrika ingawa zimeasiriwa na uviko-19 ila ni zimbabwe pekee amabyo imetangaza kuwa haina maambukizi ya uvikio-19
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.


