Sunday, November 27, 2022
Nyumbani Tafuta

Sergino Dest - matokeo ya utafutaji

Endapo haujapendezwa na utafutaji basi tafuta tena

Sergino Dest Ajiunga Ac Milan.

0
Sergino Dest amejiunga na klabu ya Ac Milan nchini Italia akitokea klabu ya Fc Barcelona kwa mkopo wa msimu mzima. Dest anakwenda kwa wababe hao...
Sergino Dest Kumrithi Kieran Trippier?

Sergino Dest Kumrithi Kieran Trippier?

0
Atletico Madrid wanaweza kumgeukia nyota wa Barcelona Sergino Dest wakati Kieran Trippier akitarajiwa kuondoka. Ripoti zinataja kuwa Trippier anaelekea kuondoka Atletico baada ya kuwepo kwa...
Sergino Dest Barcelona

Sergino Dest Kwenye Rada ya Arsenal!

0
Arsenal wameripotiwa kumtambua mlinzi wa Barcelona Sergino Dest kama moja ya malengo yao ya uhamoisho mwaka 2022. Licha ya kuwachezea wababe hao wa Catalan mechi...
Arsenal Wamewasiliana na Sergino Dest?

Arsenal Wamewasiliana na Sergino Dest?

0
Arsenal wanaripotiwa kuwa wamefanya mawasiliano beki wa kulia wa Barcelona Sergino Dest wakati kukiwa na uvumi juu ya hatma ya Hector Bellerin. Bellerin ameonekana kama...
Xavi Akubali Kiwango cha Dest Katika Ushindi 4-1

Xavi Akubali Kiwango cha Dest Katika Ushindi 4-1

0
Kocha mkuu wa Barcelona Xavi Hernandez amemsifu beki wa kulia Sergino Dest kwa kiwango bora alichokionyesha kwenye mchezo dhidi ya Valencia ambapo Barcelona ilibuka...
Dest Anaitaka Barca Xavi Hana Mipango Naye

Dest Anaitaka Barca Xavi Hana Mipango Naye

0
Hatima ya Beki wa Barcelona Sergino Dest ipo matatani baada ya kocha mpya wa Barcelona Xavi Hernandez kuonyesha hana mipango naye kwenye timu yake...

Digne, Dest Mbadala wa Chilwell Stamford Bridge.

0
  Baada ya klabu ya Chelsea kuthibitisha beki Ben hilwell kuukosa msimu mzima uliobakia, klabu hiyo imeanza kuwafwatilia Lucas Digne na Sergino Dest kama mbadala...

Dest: Barcelona Inakazi ya Kufanya Bila Messi

1
Sergino Dest amesema kuwa Barcelona italazimika kutafuta mchezaji mwingine mwenye kiwango kikubwa kufuatia kuondoka kwa Lional Messi, kutokana na kwamba mlinzi huyo anahisi nahodha...
Barcelona Yaipiku Bayern Munich Kumnasa Dest.

Barcelona Yaipiku Bayern Munich Kumnasa Dest.

43
Barcelona wamekamilisha usajili wa beki wa kulia Sergino Dest akitokea klabu ya Ajax kwa dau la €21m. Dest mwenye umri wa miaka 19 amepata umaarufu...
Dest Sergion Awatoa Jasho Bayern, Barcelona.

Dest Sergion Awatoa Jasho Bayern, Barcelona.

39
Mchezaji kinda Sergino Dest, 19 raia wa Marekani anaye kipiga katika klabu ya Ajax anaendelea kumezewa mate na vigogo barani ulaya huku klabu ya...

MOST COMMENTED

Unakwama Kuweka Pesa Meridianbet Kwa Airtel Money?

76
Mara zote jukumu letu ni kukupatia kilicho bora na kukutengenezea mazingira ya kuwa huru katika maamuzi yako. Sasa uko huru kufanya miamala yako ya...

HOT NEWS