Harry Kane Arejea na Ushindi Tottenham.

Harry Kane amerejea kutoka kuuguaza jeraha na goli katika mchezo wa Tottenham dhidi ya West Brom na Spurs kuibuka na ushindi wa 2-0 baada ya kupoteza katika michezo mitatu kwenye Premier League.

Timu ya Tottenham ilishuka mpaka nafasi ya tisa baada ya kupoteza kwa Liverpool, Brighton na Chelsea lakini siku ya Jumapili imemaliza unyonge na kurudi katika kinyang’anyiro cha top-four.

Vijana wa Mourinho walishindwa kufunga katika michezo miwili iliyopita waliyofungwa wakiwa bila Kane ambaye alikuwa akiuguza jeraha la kfundo cha mguu lakini sasa amepona na amerejea kucheza na kufunga goli.

Goli la pili liliwekwa kimiani na Son dakika nne baadaye na Tottenham haikuwa na shida kuona ushindi kwa Spurs waliyokuwa wamekosa ushindi kwa michezo mitatu iliyopita.

Kane, aliyejumuishwa kwenye kikosi kwa kushtukizwa, alitikisa wavu kutoka pembeni ya sanduku na kisha akavuta nje na kumfunga Sam Johnstone kama ilivyosema mapema.

Sasa Spurs imesogea mpaka nafasi ya saba wakiwa wamekusanya jumla ya alama 36 katika michezo 22 ya ligi msimu huu wakiwa nyuma ya viongozi wa Premier League kwa tofauti ya alama 11.


TUNGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

9 Komentara

    Pongezi kwake kane

    Jibu

    Wamejitahidi sio mbaya

    Jibu

    Amekuja na maajabu yake

    Jibu

    wamejitahid sana

    Jibu

    Pongez kwake

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Harry Kane yuko poa

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

Acha ujumbe