Rais wa Barcelona Joan Laporta alijibu swali la shabiki aliyeuliza kama kunauwezekano wa Barcelona kumsajili Robert Lewandoski alisema mshambuliaji huyo ananafasi nzuri ya kujiunga na klabu hiyo ya Uhispania.

Lewandowski ametumia miaka nane kuwa na miamba wa Ujerumani na mkataba wake wa sasa unatarajia kufika mwisho mwaka 2023.

Taarifa zinaripotiwa kwamba Bayern watakuwa tayari wamefungua mazungumzo kwaajili ya uwezekano wa kumuongeza mkataba nyota huyo wa Poland kabla ya msimu huu kuisha.Kama hawatofikia makubaliano msimu basi anaweza kuondoka klabuni hapo.

Shabiki mmoja alimsimamisha Laporta baada ya kumuona hadharani wiki hii na kuuliza: “Joan, Lewandowski anakuja au la?” Mkuu wa Camp Nou alijibu: “Ana nafasi nzuri zaidi ya kuja, ndiyo.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa