Makala nyingine

Klabu ya Bayern Munich imekubali tena kupokea kichapo kingine ndani ya ligi kuu ya Ujerumani leo dhidi ya timu ya Heidenheim iliyopanda daraja msimu huu kwa mabao matatu kwa mawili. …

Kiungo mahiri wa klabu ya Manchester City Kevin de Bruyne ameweka rekodi ndani ya klabu hiyo leo baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi …

Benzema Atema Nyongo

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema ametema nyongo baada ya kuulizwa juu ya ukame wake wa mabao toka mwezi Disemba …

Klabu ya Manchester City imefanikiwa kushika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa mabao manne kwa mawili dhidi ya klabu ya …

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa upo tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Aprili 5 2024 nchini Misri. Tayari kikosi cha Simba kimewasili …

Kocha wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Uholanzi Erik Ten Hag inaelezwa bado ataendelea kusalia ndani ya klabu hiyo zaidi licha ya matokeo yasiyo ya kuridhisha hivi …

Phil Foden kiungo wa klabu ya Manchester City amempa maua kiungo mwezake wa klabu hiyo Rodri baada ya mchezo wao wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya klabu ya Aston …

Mchezaji wa klabu ya Atletico Madrid Joao Felix anayekipiga kwa mkopo klabu ya Barcelona ameonesha kutamani mchezaji mwenzake wa kimataifa wa Ureno Bernardo Silva kujiunga na Barcelona. Akifanya mazungumzo na …

1 2 3 4 5 6 7 8 9 877 878 879