Makala nyingine

Kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs Ange Postecoglou ameweka wazi malengo yake ndani ya klabu yake kuelekea msimu ujao ambapo ana mipango mikubwa zaidi ya msimu huu. Ange Postecoglou amesema …

Klabu ya Fc Barcelona inaelezwa inakaribia kuipindua klabu ya Liverpool katika kumuwania kocha wa klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno Ruben Amorim ambaye anawaniwa na klabu ya Liverpool. Barcelona mwishoni …

Kocha wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta ameweka wazi juu ya taarifa za urejeo wa beki wake Jurien Timber ambaye amekua na majeraha kwa muda mrefu sasa. Kocha Arteta amesema …

Mchezo wa kibabe kabisa ambao ulikua unasubiriwa na mashabiki wa soka kati ya klabu ya Manchester City dhidi ya Arsenal umemalizika kwa sare ya bila kufungana jioni hii. Mchezo huo …

Kocha wa klabu ya Brighton Hove and Albion raia wa kimataifa wa Italia Roberto De Zerbi ameweka wazi hana mpango wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao baada ya …

Winga matata raia wa kimataifa wa Ureno Rafael Leao anayekipiga klabu ya Ac Milan inayoshiriki ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A ameweka wazi kua bado yupo sana ndani …

Wojciech Szczesny alionekana kupinga maoni ya Max Allegri baada ya kushindwa na Lazio, akionya ‘ushindi mmoja katika mechi tisa haustahili Juventus’ na wachezaji ‘lazima wajifunze kukabiliana na shinikizo.’ Bianconeri walichapwa …

Jana mchezo wa ligi ya mabingwa mwingine umepigwa katika dimba la Benjamin mkapa ambapo Yanga walikuwa wenyeji wa Mamelodi Sundowns majira ya saa 3:00 usiku na kumalizika kwa suluhu. Yanga …

Uongozi wa Klabu ya Simba umeamua kuwafanyia umafia Wapinzani wao Al Ahly Baada ya kutuma makachelo Misri kuweka mipango kuelekea mchezo wao wa marudiano Baada ya huu wa leo Kwa …

KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kuwa, najua ana mchezo ngumu dhidi ya Mamelodi, lakini anajivunia uzoefu wake wa kucheza mechi ngumu na Muhimu. Gamondi amesema, anajua siyo kazi …

Bosi na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Almas Kasongo amesema kwenye nyakati hizi za Ligi kwenda ukingoni watakuwa makini kufuatilia matukio yote ya Michezo. Kasongo amesema …

1 2 3 5 6 7 8 9 10 11 877 878 879