Tonali: Kuhamia Milan ni Kukamilika kwa Ndoto.

Sandro Tonali ameeleza kwamba uhamisho wake wa kwenda AC Milan ni kama ndoto yake imekuwa kweli baada ya timu aliyokuwa akichezea Brescia kushuka daraja.

Milan walitangaza usajili huo wa Tonali kwa mkopo huku kukiwa na kipengela cha kumnunua kwa ada ya uhamisho inayoripotiwa kufika €35m.

Tonali aliisadia Milan akiwa mdogo na kiungo huyo wa miaka 20 aliongea wakati wa uhamisho siku ya Jumatano.

“Hizi ni hisia kubwa, hisia za kustajabisha. Nina furaha sana,” Tonali aliiambia Sky Sport Italia.

“Kucheza nikiwa nimevaa jezi ya Milan ilikuwa ni ndoto yangu,bado sijaanza kuivaa lakini hiyo itatokea kesho Alhamisi.”

“Nitalala leo na kesho nitaanza mazoezi Milan,” aliongeza mchezaji huyo aliyeitwa mara tatu katika timu ya taifa.

Tonali: Kuhamia Milan ni Kukamilika kwa Ndoto.
Sandro Tonali

Tonali anaye arifiwa kukataa ofa za vilabu kutoka Barcelona na Manchester United alikuwa ni nguzo wakati Brescia ilipopanda daraja kucheza Serie A msimu 2018-19.

Timu ya Stefano Pioli, Milan itawakabili Shamrock Rover kwenye kutafuta tiketi ya kushiriki Europa League siku ya Septemba 17 kabla hawajaanza mbio za kuwania Serie A, 2020-21 kwa mchezo dhidi ya Bologna tarehe 21 Setemba.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

42 Komentara

    Ndio ukatuoneshe mashabiki kiu yako ya kutaka kwend Milan

    Jibu

    Hongera kwa kutimiza ndoto zako

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Pongezi kwa kukamilisha ndoto

    Jibu

    Waoo! Always dream come true

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Ongera kwake

    Jibu

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa! ilikuwa tetesi sasa imekuwa kweli. Milani inataka kurejesha ufalme katika Ligi ya Italy#meridianbettz

    Jibu

    pongezi kwa kutimiza hitaji la moyo wako

    Jibu

    Pongezi kwake nenda kanyeshe mahajabu

    Jibu

    Tonali Muoga na Soka la Uingereza lakini sio mbaya kuheshimu maamuzi yake maana kwake pia ni kukamilisha ndoto yake ya kuchezea Ac Milan

    Jibu

    Tonal anaenda kufanya maajabu AC Milan

    Jibu

    Hongera kwake#Meridianbettz

    Jibu

    Kitu kizuri kuchezea timu kama milan

    Jibu

    Tonali nenda kapambane sasa.

    Jibu

    Sasa tuonyeshe kuwa unataka kuirudisha Milan kwenye mstari wake

    Jibu

    Nice updte

    Jibu

    safii

    Jibu

    Nyota njema kwake

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    hongera sana kwake#meridianbettz

    Jibu

    nice

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    gud news

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Ni jambo la kher

    Jibu

    Inapendeza km ametimiza ndoto yake

    Jibu

    Amebata bahat Kwa kwer

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Hongera kwa kutimiza ndoto zako Tonali

    Jibu

    Ni jambo la furaha kutimiza ndoto.

    Jibu

    Good

    Jibu

    Tonali Muoga na Soka la Uingereza lakini sio mbaya kuheshimu maamuzi yake maana kwake pia ni kukamilisha ndoto yake ya kuchezea Ac Milan

    Jibu

    Hakika ndoto yako imetimia!!

    Jibu

    Hata Mie Ningefurahia Kuhamia timu nyingine Mana hiyi aliyokuwepo wanashuka Daraja

    Jibu

    Hongera zake

    Jibu

    Safi, maisha ni mapambano

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Tunasubiri kuona maajabu yake

    Jibu

Acha ujumbe