Sebastian Vettel Kujiunga Aston Martin.

Bingwa mara nne wa dunia kwenye mbio za magari F1 Sebastian Vettel ametangaza rasmi kuwa atajiunga na timu ya magari ya Aston Martin baada ya kuachana na Ferrari na atashiriki Formula1 msimu ujao.

Vettel anamaliza mkataba wake na Ferrari mwisho wa msimu huu na alitangaza kuwa ataihama timu hiyo.

Sebastian Vettel atajiunga Aston Martin katika mbio za magari kwa msimu 2021 na Ted Kravitz Sky F1 amesema inaleta maana kwa pande zote.

Sebastian Vettel Kujiunga Aston Martin

Sebastian ataziba nafasi ya Sergio Perez,aliyetangaza siku ya Jumatano usiku kuondoka katika timu mwishoni mwa msimu, na ataendesha pembeni akiwa na Lance Stroll.

Vettel, ambaye alijiunga na Ferrari mwaka 2015 baada ya kushinda mataji manne akiwa na Red Bull, hakuwa tayari kuacha ukame wa mataji Scuderia, alimpa Lewis Hamilton ubingwa tangu Rosberg aondoke kwenda Mercedes.

Kutua kwa Charles Leclerc katika timu ya Ferrari mwaka uliyopita kumemtikisa Vettel kwa namna fulani na kuzorotesha mahusiano yake na Ferrari,lakini bado alikuwa bingwa wa mbio mwaka 2019.

Sasa amepata nafasi ya kudhihirisha ukali wake tena na kwa mara ya kwanza katika maisha yake akiwa anaendesha Merc-powered car.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

45 Komentara

    Sebastian atakuwa ametimiza ndoto zake kujiunga Aston Martin kwenye mbio za magari

    Jibu

    Watu wanaangalia Maslahi sio mbaya kwa Sebastian Vettel kujiunga na Aston Martin

    Jibu

    sio vibaya kwa kujiunga na Aston kikubwa maslai

    Jibu

    Kitu kizuri

    Jibu

    Sio mbaya kwa sebastian vettel kujiunga na Aston martin anangalia maslai tu#Meridianbettz

    Jibu

    Nijambo zuri kwa Sebastian

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Umefanya uchaguzi mzuri mana hapo wanalipa vizuri

    Jibu

    Sebastian amekuwa akipigana kufa na kupona kurejea kwenye ubora wake lakini bado Lewis ana shine.Labda upepo wa bahati utarejea baada ya kujiunga Aston Martin#meridianbettz

    Jibu

    Ni Jambo zuri

    Jibu

    Maslah ndo kila kitu vettel kila la kheri

    Jibu

    Kheri kwake

    Jibu

    Amechagua sehemu sahihi sana na mkwanja wao upo vizuri sana

    Jibu

    vizuri sana michezo ni umoja

    Jibu

    Jambo zur

    Jibu

    Ni vizuri sana ila aangaliye maslai@meridianbettz

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Sebastian aangalie mpunga ulipo..

    Jibu

    Ishu maslahi tu

    Jibu

    Mambo ya fedha hayo

    Jibu

    Safi sana kwa uchaguzi waliofanya#meridianbettz

    Jibu

    nice

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    saf

    Jibu

    Safiiii Sana

    Jibu

    Kila la heri

    Jibu

    Vizur sana

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Jambo jema

    Jibu

    Kikubwa maslai

    Jibu

    Ameamua jambo zuri tu

    Jibu

    Kila ndege hutua mti aupendao kama kuna masilahi basi ni vizuri zaidi

    Jibu

    Ni Jambo zur kweny utafutaji lidhik

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Vema

    Jibu

    ametimiza ndoto zake kujiunga Aston Martin kwenye mbio za magari

    Jibu

    Jambo zuri.

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Watu wanaangalia Maslahi sio mbaya kwa Sebastian Vettel kujiunga na Aston Martin

    Jibu

    Maamuzi sahihi,endelea kupmbana!!

    Jibu

    Sebastian anajua sana ila anataka akaonge nguvu Aston#Meridianbettz

    Jibu

    Kila laher

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Safi sana nadhan n moja ya ndot zak

    Jibu

Acha ujumbe