Gareth Bale Kufikisha Michezo 100
Gareth Bale anajiandaa kuwa mchezaji wa pili kwenye timu ya taifa ya Wales kufikisha michezo 100, ikiwa atacheza kwenye mchezo wa kufuzu kombe la Dunia 2022 dhidi ya timu ya …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Gareth Bale anajiandaa kuwa mchezaji wa pili kwenye timu ya taifa ya Wales kufikisha michezo 100, ikiwa atacheza kwenye mchezo wa kufuzu kombe la Dunia 2022 dhidi ya timu ya …
Uchunguzi uliofanywa siku ya Jumatatu hii asubuhi umethibitisha kuwa Gareth Bale ameumia kwenye nyama ya mguu wa kulia na atakuwa nje kwa muda mrefu. Bale alipata jeraha hilo katika mazoezi …
Gareth Bale ameripotiwa kubainisha kuwa anasubiri kwa hamu mkataba wake na Real Madrid kuisha akiwa Hispania. Baada ya likizo ya kimataifa staa huyu mwenye miaka 32 kwa sasa yupo kwenye …
Baada ya kuitumikia Spurs kwa mkataba wa msimu mmoja chini ya Jose Mourinho, Gareth Bale hatorejea tena klabuni hapo. Kocha mpya wa Spurs, Nuno Espirito Santo, amethibitisha kutokuwepo kwa Bale …
Nyota wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Wales, Gareth Bale, anaripotiwa kuachana na soka la vilabu ifikapo Juni, 2022. Bale amerejea Madrid baada ya kumaliza msimu mmoja wa …
Gareth Bale amezungumzia juu mipango yake ya kustaafu kucheza soka la kimataifa na timu yake ya taifa ya wales baada ya kumalizika kwa mchezo wa Euro 2020 waliyopoteza kwa 4-0 …
Gareth Bale ameeleza kwamba yupo tayari kurejea Real Madrid wakati huu wa majira ya joto, na amemsifu Carlo Ancelotti na kuelezea kuwa ana mahusiano makubwa na kocha huyo Muitalia. Ingawa …
Pengine unaweza kudhani ni majina tu yamebaki lakini uwezo wao uwanjani ni suala jingine. Gareth Bale na Aaron Ramsey, bado wanakitu cha kuuthibitishia ulimwengu wa soka. Baada ya kufanya vizuri …
Nahodha wa Wales, Gareth Bale anasema kuwa kwa sasa yuko fiti, na anajiona anazidi kuwa fiti zaidi kila siku. Katika EURO 2020, Bale anaamini atafanya maajabu zaidi ya aliyoyafanya miezi …
Ni matumaini mapya kwa mastaa wa Real Madrid, Eden Hazard na Gareth Bale baada ya Carlo Ancelotti kutangazwa kuwa kocha mpya wa timu hiyo kuelekea msimu ujao. Ancelotti alipoulizwa kuhusu …
Klabu ya Tottenham ina mpango wa kumuongezea muda wa mkopo kiungo mshambuliaji, Gareth Bale ambaye yupo hapo kwa mkopo akitokea kikosi cha Real Madrid. Raia huyo wa Wales mkataba wake …
Raisi wa zamani wa Real Madrid, Ramon Calderon anasema mchezaji Gareth Bale hajafurahia kipindi chake akiwa kwa mkopo katika klabu ya Tottenham. Bale ametangaza kurejea katika klabu yake ya …
Nahodha wa Wales Gareth Bale anasisitiza kuwa havurugwi na kutokuwa na uhakika juu ya maisha yake ya baadaye na anatarajia kurudi Real Madrid mwishoni mwa msimu kama ilivyopangwa. Mchezaji huyo …
Gareth Bale anasema amekuwa na furaha tangu aliporudi Tottenham baada ya winga huyo kufunga mabao mawili katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Burnley siku ya Jumapili. Mchezaji huyo mwenye umri …
Jose Mourinho amesema wakati umefika kwa Gareth Bale kujitokeza na kuonyesha anastahili nafasi yake katika kikosi cha Tottenham. Kufungwa Spurs na Liverpool siku ya Alhamisi ilichangiwa na habari kwamba mshambuliaji …
Ripoti zinadai kuwa Real Madrid wana wasiwasi juu ya hatma ya nyota wao Gareth Bale ambaye anatumikia mkataba wake wa mkopo kule Tottenham Hotspurs. Taarifa zinataja kuwa kuna uwezekano mipango …
Gareth Bale alifunga bao lake la 200 siku ya Alhamisi baada ya kuifungia Tottenham katika mechi ya Europa League dhidi ya LASK. Bale mchezaji wa kimataifa wa Wales alikuwa amekwamia …
Gareth Bale alirejea Tottenham baada ya miaka saba tangu alipoondoka kwa dau la euro milioni 85 kwenda Real Madrid. Akiwa Real Madrid alionekana kama amepoteza radha ya soka lake au …
Baada ya kurejea uwanjani na kuikosa michezo kadhaa ya UEFA Nations League mwezi Oktoba, sasa ni rasmi Gareth Bale amerejea kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Wales. Mwezi Oktoba, …
Baada ya kutosikika kwenye masikio ya wapenda soka kwa muda kidogo, hatimaye Bale na Ronaldo wamerejea katika nafasi zao kwa kuzifumania nyavu wikiendi hii. Gareth Bale alikuwa kwenye kifungo huru …