Bale - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Gareth Bale Atangazwa Rasmi na LAFC

MLS

Klabu ya Los Angeles FC imethibitisha kumsajiri mshambuliaji wa kimataifa wa Wales Gareth Bale kwa uhamisho huru akitokea klabu ya Real Madrid baada ya kumaliza mkataba wake. Gareth Bale siku …

Gareth Bale kutimkia Marekani

MLS

Mashambuliaji nyota wa kimataifa wa Wales Gareth Bale anaenda kuanza maisha mapya kwenye jiji la California nchini Marekani baada ya kufikia makubaliano na timu ya Los Angeles FC inayoshiriki ligi …

Bale Aikataa Mchana Kweupe Getafe

Daily News

Gareth Bale Ameikataa hadharani klabu ya Getafe baada ya kuwepo kwa mjadala wa kwamba nyota huyo wa Wales anaweza kujiunga na klabu hiyo ya LaLiga. Angel Torres alikiri kwamba Mchezaji …

Gareth Bale Kutimka Real Madrid

Daily News

Wakala wa mchezaji wa klabu ya Real Madrid Gareth Bale amethibitisha kuwa mteja wake huyo ataondoka kwenye klanye klabu hiyo msimu huu baada ya mkataba wake na mabingwa wa Hispania …

Casemiro Amkingia Kifua Gareth Bale

Daily News

kiungo wa klabu ya Real Madrid Casemiro amesimama na kumtetea mchezaji mwenzake Gareth Bale baada ya mashabiki wa klabu hiyi kumzomea kwa dhihaka wakati akijaanda kuingia kwenye mchezo wa wikiendu …

Gareth Bale Atarejea Tena Spurs?

Daily News

Tottenham Hotspur inaripotiwa kutafakari kuungana tena na Gareth Bale kwenye dirisha la usajili la Januari. Licha ya panda shuka wakati wa mkopo wa msimu mzima huko London Kaskazini msimu wa …

Bale Yupo Tayari Kurejea Dimbani?

News

Hali ya majeruhi ya Real Madrid inaendelea kuimarika, huku Gareth Bale akirejea mazoezini. Los Blancos walikuwa na changamoto ya majeruhi mapema msimu huu wakiwa wameanza vibaya msimu kutokana na majeraha. …

Gareth Bale Afikisha Millenium

Daily News

Gareth Bale amekuwa mchezaji wapili kwenye timu ya taifa ya Wales kuweza kufikisha michezo 100 ya kimataifa baada ya Chris Gunter. Gareth Bale hakuonekana kwa takribani kipindi cha miezi miwili …

1 2 3 4 5 14 15 16