PSG: Neymar Anawasubiri Manchester United.

Kocha wa PSG – Thomas Tuchel amesema mshambuliaji wake – Neymar Jr atakuwa fiti kuwakabili Manchester United wiki ijayo katika mchezo wa UEFA.

Neymar hakucheza mchezo wa jana dhidi ya Nimes ambapo Paris Saint Germain walishinda 4-0. Pengine mashabiki mbalimbali walijiuliza sababu ya kutocheza na sasa kocha amefafanua vizuri.

“Neymar hana tatizo lolote. Tulizungumza kama nilivyofanya kwa Mbappe. Tulikuwa na majadiliano ya kweli na niliamua kumuacha leo apumzike. Atajiunga na sisi kesho na ataanza mazoezi ili kujiweka sawa kuwakabili Man United.

Mchezo dhidi ya Nimes umekuja zikiwa ni siku 3 tu zimepita tangu Neymar apachike magoli 3 akiwa na timu ya taifa (Brazil). PSG wamecheza michezo 4 kati ya 7 kwenye Ligue 1 bila Neymar.

PSG watawakaribisha Manchester United siku ya Jumanne katika mzunguko wa kwanza wa UEFA.


Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

24 Komentara

    Hii mechi ni balaa

    Jibu

    Itakua balaa

    Jibu

    Bonge la mechi naisubir Kwa hamu

    Jibu

    United wajipange Sana MWAMBA neymar JR ni MO

    Jibu

    Tunasubiri matokeo

    Jibu

    Ni game ya. Kisasi kwa psg

    Jibu

    Acha tuone nini kitatokea

    Jibu

    We can’t wait

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Itakuwa big mechi

    Jibu

    Bonge la mechi

    Jibu

    Man u jipangeni.neymar sio wa mchezo mchezo

    Jibu

    PSG wajipange wakingia kichwa kichwa watakula nyingi usiuzalau mchezo

    Jibu

    Itakua bonge la mechi ilo

    Jibu

    Big mechi

    Jibu

    Tusibili tuone sijui itakuje

    Jibu

    Itakua bonge LA mechi

    Jibu

    Mechi ngumu

    Jibu

    Neymar anajambo lake

    Jibu

    acha tu awasubiri maana united siku hizi wamedorord sana hawana kikosi kilicho simama vizuri

    Jibu

    Safii

    Jibu

    neymar alipewa mda wa kupunzika psg wapo vizuri

    Jibu

    Neymar anajambo lake, litafanikisha tu.

    Jibu

    Bonge la mechi

    Jibu

Acha ujumbe