Makala nyingine

Zidane hajaanza kwa kufanya vyema sana kama matarajio ya wengi toka aliporejea kikosini hapo. Mashabiki wamepoteza imani na baadhi wakishinikiza meneja huyu atimuliwe klabuni hapo. Tetesi zimewataja wataalamu ambao wanaweza …

Pep: Hatujali Kabisa!

Kocha wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola anasema kwamba hatojali lolote lile endapo kikosi chake kitamaliza msimu bila kuwa na taji lolote. Kocha huyo amesema hayo kwa kuona kwamba …

Hadi sasa dirisha la usajili barani Ulaya limefungwa ambapo kila klabu iliyokuwa na uhitaji wa kunasa wachezaji kwa ajili ya kuweka mambo kwenye mfumo ambao utakuwa rafiki kiushindani kwa msimu …

Soka ni mchezo ambao linalofanyika mara nyingi huonekana wazi kabisa bila kificho. Hilo linadhihirika wazi kabisa ndani ya klabu ya Liverpool ambao wanafanya vyema sana ndani ya Ligi Kuu ya …

Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp anasema kuwa kikosi chake kinahitaji kujiboresha zaidi kwenye safu ya Ulinzi. Liverpool wamekuwa wakifanya vyema wakianza kwa kasi kama ya msimu uliopita wakiwa hawajapoteza mechi …

Hatuna la Kusema!

Klabu ya Manchester City ambayo ilishangaza wengi mara baada ya kupoteza mechi ya ligi mbele ya timu ambayo imetoka kupanda ligi ni jambo ambalo liliibua maswali mengi na ya aina …

Yaliyojiri Europa…

KWENYE michuano ya ligi ndogo ya mabingwa [UEFA Europa] kila timu ilikuwa ikiwinda bafasi ya pekee sana ili kuweza kupata alama ambazo zitaisaidia kuweza kukua na kufanya vizuri kwenye michezo …

Matajiri wa nchini Uingereza, Manchester United wana uhakika wa kumshawishi kiungo wa klabu hiyo, Paul Pogba ili aweze kundelea kusalia ndani ya klabu hiyo. Mchezaji huyo amekuwa akiwafikirisha sana matajiri …

Ni Ndoto au Kweli?

Wengi huona kwamba katika soka kwa kizazi kilichopo kina kubwa sana la kufanya kabla ya kuanza kujilinganisha na watu wawili waliotawala soka kwa takribani miaka 15 na wakiwa wamefanya makubwa …

Kocha wa klabu ya Manchester United, Ole Gunnar bado hesabu na maono yake makubwa yapo katika usajili wa wachezaji ambao ni raia wa Uingereza ndani ya kikosi cha United. Kocha …

Samuel Ettoo amesema kuwa anahitaji kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa kama kocha. Anataka kuwa kocha wa kwanza asiye mweupe kushinda taji hilo. Ni mwezi huu tuu staa huyu ameamua …

UEFA: Mechi Kali za Leo

Ndani ya michuano ya klabu bingwa shughuli bado haijafika ukomo wake! Ndiyo kama inaanza kuonekana kupendeza, kutakuwa na vuta n’kuvute ya aina yake ambapo kila klabu itakuwa uwanjani kutafuta tiketi …

Baada ya mechi za michuano ya klabu bingwa kwa baadhi ya makundi kuchezwa hapo jana kuna makubwa ambayo yametokea ndani ya hatua hiyo ambapo yapo yaliyoshangaza wengi kutokana na kile …

Klabu ya Manchester United inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ipo katika harakati za kumfanya mlinda mlango wa klabu hiyo, David de Gea kuwa sehemu ya wachezaji wanaolipwa kiwango cha juu …

Messi ni Mchezaji Huru!

KWA sasa mambo yote hadharani juu ya nyota wa klabu ya Barcelona ambaye wengi wanaamini kwamba yeye ni mchezaji wa maisha yote ndani ya klabu hiyo na kwamba hana uwezo …

Kwa mashabiki wa soka wanaposikia tu jina Ronaldo lazima wanaamini kuna kitu kikubwa amekifanya kwa wakati husika. Nyota huyo kwa hivi karibuni amekuwa mtu wa kuweka na kuvunja rekodi nyingi …

Mlinda mlango wa klabu ya Manchester United, David de Gea tayari ameweza kutia kandarasi ya kuhudumu ndani ya klabu ya United kwa miaka mitano zaidi na tayari amekwishamwaga wino klabuni …

1 2 3 884 885 886 887 888 889 890 943 944 945