Messi Arejea Mazoezini Barcelona

Kwa mujibu wa chapisho la Diario Sport, nyota wa Barcelona Lionel Messi tayari amesharejea mazoezini.

Nyota huyu alikuwa anauguza jeraha lake la goti na kuikosa mechi ya mwisho Barcelona dhidi ya Eiber ambayo ilimalizika kwa sare ya 1-1 kabla ya Krismasi.

Messi amerejea kwa kuchelewa baada ya likizo ya krismasi akiwa fiti na kujiandaa kwa ajili ya mechi ijayo ya miamba hawa wa La Liga. Barcelona wameanza mazoezi tayari kujiandaa na mechi ijayo dhidi ya Huesca -Jumapili.

Lionel Messi Barcelona

Habari ambazo zinabamba zaidi katika vichwa vya habari za soka kuhusu Barcelona kwa sasa ni juu ya hatma ya staa huyu klabuni hapo, huku nyota huyu sasa ni rasmi anaweza kuanza kufanya mzaungumzo na kusaini makunaliano ya awali na klabu yeyote.

Taarifa zinasema kuwa nyota huyu huenda akasalia klabuni hapo kwa sasa hadi 2023 kabla hajaamua kwenda Marekani ambako ni ndoto yake kucheza baada ya La Liga, licha ya kuwa anahusishwa na vilabu kadhaa vikubwa vya Uingereza.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

16 Komentara

    Habari njema kwa mashabiki wa barca

    Jibu

    Nazidi kupokea habari njema

    Jibu

    Safiii inapendeza

    Jibu

    Inapendeza Sana kwa mashabiki

    Jibu

    Messi hapo Barca ndio home apige kabumbu sasa

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Good

    Jibu

    Messi barca for life

    Jibu

    Safi sana Messi

    Jibu

    habari nzuri kwa mashabiki wa barca

    Jibu

    Safi san messi

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Safi sana messi

    Jibu

    Hongera yake kwa kurejea

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe