Ivan Perisic Mbadala wa Sancho United?

Klabu ya Manchester United imeripotiwa kuwa wanageuza majeshi yao kumnasa Ivan Perisic kama mbdala wa nafasi ya Jadon Sancho klabuni hapo.

United wamekuwa wakimfukuzia kwa hali na mali nyota wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, na kutokana na dau kubwa alilonalo staa huyu United walikuwa wanaendelea na mazungumzo ya kupunguziwa dau.

Ivan Iperisic kuwa mbadala wa Sancho
Jitihada za United kumnasa Jadon Sancho zinagonga mwamba

Jitihada zimetajwa kugonga mwamba, United wameamua kukaa kitako na kujifuta jasho kutazama nani anaweza kuwa mbadala wa bei nafuu ambaye anaweza kuchukua majukumu waliyotarajiwa kumpatia Jadon Sancho.

Ripoti za kutoka Uingereza zinasema kuwa klabu imeamua kuanza kumfuatilia Ivan Perisic ili aweze kuwa mbadala.

Ivan Iperisic
Ivan Iperisic

Hii inakuwa si mara ya kwanza United kumfukuzia Perisic, klabu hii ilihusishwa na staa huyu ilipokuwa chini ya Jose Mourinho lakini badala yake nyota huyu alienda klabu ya Bayern Munich kwa mkopo.

Kwa mujibu wa The Telegraph, United wameshachoshwa na mbio za Sancho na Perisic ndiye anatazamiwa kama mbdala ambaye anatajwa kuwa na dau la €20m.

 


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

45 Komentara

    Hii itakuwa ngumu kumeza, Sancho ni bora zaidi kwa Perisic lakini anaweza akawa msaada

    Jibu

    Sancho ni sancho tu.ata wakitafuta mbadala wake hawezi kumfikia sancho sancho level nyingine kabisa

    Jibu

    Man u kumchukua sancho ni safi ila kwa perisic naona hana umuhim kwa united

    Jibu

    nini kinakwamisha mpk washindwe kumpata Sancho…?

    Jibu

    Hii itakuwa ngumu kumeza

    Jibu

    Sancho nibora zaidi kwa Parisic sijui lakini anaweza akawa msahada

    Jibu

    Sancho Ni bora kwako!

    Jibu

    🔥🔥🔥

    Jibu

    Sancho Yuko vizuri

    Jibu

    kiuwezo ni mzuri lakn man utd anahitajika mtu mweny uwezo binafs au kipaj kam alovyo sancho ili brand iendelee kuwa juu kama zaman

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Ivan anaweza akawa msaada

    Jibu

    Sancho Ni mchezaji mzuri@meridianbettz

    Jibu

    Dina uhakika na hilo

    Jibu

    duuu kwaiyo sancho usajili wake umeshindikana man united

    Jibu

    Aongezee juhudi kidogo anaweza akamkaribia sancho!!

    Jibu

    Wote wako vizuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Iyo Simba akikosa nyama ata nyasi anakula good

    Jibu

    Sanchi ni mchezaji namkubali#meridianbettz

    Jibu

    United safi

    Jibu

    Ivan perisic hawazi kuwa mbadala wa sancho,Sancho chombo chengine ww kwanza Sancho umri wake na mambo anayoyafanya balaa uwezi kumfananisha na ivan umri wake umeenda man u wanatuzuga tu bado wanamfukuzia

    Jibu

    Hii itakuwa ngumu kumeza

    Jibu

    Perisic umri umesonga united inabid ichukue wachezaj vijana

    Jibu

    Wote wako vizur

    Jibu

    Ivan Perisic yuko vzur sana inakuwa si mara ya kwanza United kumfukuzia Perisic, klabu hii ilihusishwa na staa huyu ilipokuwa chini ya Jose Mourinho lakini badala yake nyota huyu alienda klabu ya Bayern Munich kwa mkopo.
    Kwa mujibu wa The Telegraph, United wameshachoshwa na mbio za Sancho na Perisic ndiye anatazamiwa kama mbdala ambaye anatajwa kuwa na dau

    Jibu

    Hayo maneno ya mfamaji man utd waweke mzigo kwa sancho sio kuhangaikia kwa ivan

    Jibu

    Mmm apo atalii

    Jibu

    Bado sana

    Jibu

    yuko vzr

    Jibu

    Jamaa yuko vizuri

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Man u kwenye usajiri bado kabic ingekua vizuri kama wangeipata saini ya sancho

    Jibu

    Habari njema kama sancho amepata mbadala wake

    Jibu

    Bado sana tu

    Jibu

    Yuko vzuri Sana

    Jibu

    bora sana united walivyoachana na habari za sancho

    Jibu

    Sancho namkubali yuko vizuri

    Jibu

    Sancho jembeee sana

    Jibu

    Kijan yup vzr

    Jibu

    United wamekuwah watu wa romance Sana kwny sign za wachezaj mwisho closed the window hakuna sahhh yyte ya mchezaj waliopata

    Jibu

    Sancho yuko vizur

    Jibu

    Sancho yupo sawa

    Jibu

    itakuwa ngumu kumeza, Sancho ni bora zaidi kwa Perisic lakini anaweza akawa msaada

    Jibu

Acha ujumbe