Rayvan Kutumbuiza AZAMKA

Nyota wa muziki wa bongo fleva Raymond Mwa… anatarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha la Azam ‘AZAMKA’ litakalofanyika Agosti 14 mwaka huu. 

Tamasha hilo litakuwa maalum kwa klabu ya Azam kwa ajili ya kuwatambulisha wachezaji wao huku wakicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Zesco United ya Zambia.

Akizungumzia hilo, ofisa habari wa Azam FC, Thabit Zakaria ‘Zaka zakazi’ amesema kuwa “Mambo yanaenda vizuri na maandalizi yanaendelea kuelekea kwenye tamasha letu. 

“Tunatarajia kuwa na msanii atakayetumbuiza ambaye ni Rayvanny katika tamasha letu hilo hivyo tunawaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi katika tamasha hilo. 

“Tiketi zinapatikana kote kwenye Ice Cream centers na kutakuwa na magari maalumu yakipita kuuza tiketi.”

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.