Miaka ya hivi karibuni soka limebadilika kwa kiasi kikubwa na sasa FIFA wanaangalia namna ya kuendelea kufanya mapinduzi katika mchezo huo pendwa ulimwenguni kwa kuondoa makosa ya kibinadamu katika kufanya maamuzi kwa mchezaji aliyezidi (Offside).

Arsene Wenger ambaye ni mkuu wa Global Football Developmentanataka maamuzi ya Offside yafanyike automatic, na kuondoa maamuzi kutoka kwa usaidizi wa refa.
Hii pia imekuja baada ya kutokea kwa mkaanganyiko kwenye fainali ya UEFA Nations League, ambapo ililalamikiwa kwamba Kylian Mbappe alikuwa amezidi alipofunga bao la ushindi kwa timu ya Ufaransa dhidi ya Spain.
Kocha wa zamani wa Arsenal, Wenger alisema “Kuna uwezekano mkubwa, nilikuwa nimefanya siri lakini kuna mabadiliko makubwa kwenye uamuzi.”
“Kila kitu kimekuwa kikisomwa Teknolojia inaweza kufanya uamuzi kwa sentimita tano au sita kama ni offside au siyo.
FIFA wamelenga kuanza kutumia teknolojia hiyo mwaka 2022 ambapo offside itaamuliwa moja kwa moja bila kutegemea uamuzi kutoka kwa waamuzi kama ilivyokuwa hapo awali.
Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

CHEZA HAPA

