Chelsea wamepangwa kumenyana na Tottenham Hotspur katika nusu fainali ya Kombe la Carabao.

The Blues wamejikatia tiketi ya kutinga hatua ya nne ya mwisho ya mashindano hayo baada ya kuichapa 2-0 Brentford uegenini siku ya Jumatano.
Chelsea wamezishinda timu tatu za Premier League katika njia yao ya kutinga hatua hii, Aston Villa, Southampton na sasa Brentford.
Nusu fainali ya Kombe la Carabao imepangwa kufanyika katika wiki zinazoanza Januari 3 na 10.
Fainali itachezwa kwenye Uwanja wa Wembley Jumapili tarehe 27 Februari 2022.
Chelsea inajaribu kushinda Kombe la Ligi kwa mara ya sita katika historia ya klabu hiyo, huku mara ya mwisho kutwaa taji hilo ilikuwa mwaka 2015 chini ya Jose Mourinho.

Droo ya Nusu ya fainali ya Carabao Cup
Arsenal vs Liverpool
Chelsea vs Tottenham
Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.


