Roy Keane Afanya Mazungumzo na Sunderland

Roy Keane siku ya leo amekuwa na mazungumzo marefu na klabu ya Sunderland kuhusu kibarua cha kuinoa klabu hiyo mkurungenzi wa michezo amesibitisha hilo.

Mkurugenzi wamichezo wa klabu ya Sunderland Kristjaan Speakman, ndie anayeongoza jopo la kutafuta mrithi wa Lee Johnson, ambaye amefungashiwa virago vyake baada ya kupata kipigo kitakatifu siku ya Jumapili cha 6-0 na klabu ya Bolton Wanderers.

Roy Keane
Roy Keane

Kristjaan Speakman amekutana na Roy Keane leo mchana kwenye mazungumzo ya kuhitaji kumrudisha tena kwenye klabu hiyo, ili aweze kurudisha ubora wa klabu hiyo kipindi akiwa na klabu, kati ya mwaka 2006 hadi mwaka 2008 ambapo aliweza kufundisha klabu hiyo.

Roy Keane mara nyingi amekuwa akieleza shauku ya kutaka kurejea kwenye kabu hiyo, katika kipindi ambacho alikuwepo kwenye klabu hiyo aliweza kuwasidia wasishuke daraja, alifanikiwa pia kuchukua ubingwa wa Championship na kuweza kuwaongoza kwenye ligi kuu kabla ya kuondoka baada ya kufungwa 4-1 na Bolton Wanderers.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe