Reina: Zielinski Anatakiwa Acheze Real Madrid au Barcelona.

Pepe Reina amesema Piotr Zielinski ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa ambaye alitakiwa kuchezea vilabu kama Real Madrid na Barcelona.

Zielinski ambaye ni kiungo wa Napoli amekuwa akistawi katika klabu ya the Partenopei tangu ajiunge nao akitokea klabu ya Empoli mwaka 2016.

Reina: Zielinski Anatakiwa Acheze Real Madrid au Barcelona.
Piotr Zielinski

Ni fowadi Jose Callejon (63) na Lorenzo Insigne (86) wametengeneza nafasi nyingi zaidi katika Serie A msimu uliyopita katika klabu kuliko Zielinski (53) wakati pia akiwa amepiga pasi nyingi zaidi zilizo kamilika kuliko mchezaji yeyote katika timu anayoichezea isipokuwa Fabian Ruiz na Giovanni Di Lorenzo.

Toni Kroos (60) alikuwa ni mchezaji pekee aliye tengeneza nafasi nyingi kuliko mchezaji yeyote wa Madrid au Barca msimu 2019-20.

Reina ambaye alikuwa ni mchezaji mwenzake kwa kipindi cha miaka miwili Naples, hana shaka na amaamini mchezaji huyo ana ubora wa kutosha kwaajili ya kuichezea moja ya klabu kubwa nchini Hispania.

Reina ambaye alikuwa kwa mkopo katika klabu ya Aston Villa akitokea Milan msimu uliyopita kwa sasa yupo Lazio, akiwa amedumu kwenye soka la kulipwa kwa takribani miaka 20.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38 anadhani golikipa wa Manchester United, David de Gea ni chaguo sahihi katika kikosi cha Luis Enrique.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

23 Komentara

    Reina MTU makin

    Jibu

    Reina ni bora haende barca

    Jibu

    Pepe yuko sahihi

    Jibu

    Hayo mawazo yake pepe REINA kwn zielinski hajafikiah ubora wa kuwashawish miamba ya soka ulimwenguni kutapa tapa kutafuta saini yake ndani ya ulaya

    Jibu

    Ni kweli kabisa reina bonge la mchezaji

    Jibu

    aende tu barca madrid atakufa njaa

    Jibu

    Barcelona panamfaa sana

    Jibu

    Nikweli mchezaji mzuri

    Jibu

    Reina yuko vzur Sana afanye mpango aende club kubwa tu

    Jibu

    Uwezo wake upo vzuri

    Jibu

    Reina wa kwaida tu hana uwezo huo

    Jibu

    Reina angalie wapi kuna upepo

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Zliensink ni mchezaj ambae kiwangochake na kasi yake madrid ni sehem sahih

    Jibu

    Kama vipi aende tuuu barc

    Jibu

    Achezee popote tuu zote club bora

    Jibu

    Akitua Barca itapendeza

    Jibu

    Nimchezaji mzuri maamuzi ni yake#meridianbett#

    Jibu

    Ni mchezaji nzur ila yy kam yy afanye chaguo!

    Jibu

    Pepe yuko sahihi

    Jibu

    Barcelon panamfaa zaid

    Jibu

    Hapo sasa itabidi achague moja na wapi aende wa sasa

    Jibu

    Zliensk anatkiwa awe wa madrid

    Jibu

Acha ujumbe