Watanzania Wameiteka Dunia Kwa Sarakasi, Wapewa Golden Baszler

Watanzania Ibrahim Ramadhan na Fadi Ramadhan almaarufu Ramadhan Brothers, waliong’ara katika mashindano ya Australia’s Got Talent yaliyofanyika usiku wa Jumapili, Oktoba 16, 2022, wamefunguka mambo mengi kuhusu maisha yao ikiwemo jinsi walivyoanza sarakasi.

Watanzania
Ramadhani Brothers 

Ramadhan Brothers wamesema shoo iliyoonekana kwenye mitandao na kuwapa umaarufu mkubwa pamoja na Golden Buzzers, ilikuwa ya utangulizi katika hatua za awali na kwamba zipo shoo nyingine kubwa zaidi ambazo Watanzania watajionea mambo makubwa waliyoyafanya wakiwa nchini Australia.


Unaweza kua kutazama video za uchambuzi na matukio ya kisoka kwa kugusa video hii

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.