Pavard Atoa Ufafanuzi wa Comment yake Kuhusu PSG.

Benjamin Pavard amejieleza baada ya ujumbe wake kukosolewa kwamba Bayern Munich   “Hawatakiwi kuigopa” Paris Saint-Germain.

Bayern Munich na PSG watakutana katika fainali ya Champions League mchezo utakao pigwa katika dimba la Estado da Luz siku ya Jumapili huku kukiwa na sintofahamu kama Pavard ataanza kwenye mchezo huo kwa mara ya kwanza nchini Ureno baada ya kupata jeraha la kifundo cha mguu mwezi uliyopita akiwa mazoezini.

Baada ya Bayern Munich kukabiliana na kuwatoa Lyon kwenye nusu fainali ya Champions League, mshindi wa kombe la Dunia na beki wa Bayern Munich Pavard ametoa tamko la kutoogopa timu yoyote iliyopo mbele yao.

Mfaransa Pavard amesababisha akosolewe vikali kutokana na ujumbe wake lakini amefafanua hisia zake kwamba hautakiwi kuugopa mpinzani yoyote katika mchezo kama wa fainali ya ligi ya Mabingwa.

“Paris ni timu kubwa, imekamilika kila idara, wanafanya kazi nzuri sana na wamesajili wachezaji wazuri sana,” Pavard aliiambia RMC Sport.

“Ninacho waza ndani ya kichwa changu hasa kwenye fainali, kama unaogopa kucheza dhidi ya PSG, Real Madrid au yoyote ni vyema ukakaa nyumbani tu.

“Kila mtu ana uhuru wa kufikiria kile anachokitaka, tumejiandaa kwaajili ya fainali.

Bayern wameshinda michezo yao 20 yote iliyopita katika mashindano yote na iliwapa 8-2 kichapo cha historia katika timu Barcelona.

“Nina furaha sana kuwepo katika fainali hii, lakini kama tukipoteza, sitopenda itakuwa kazi bure.”


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma zaidi ucheze

45 Komentara

    Uko sahii pavad,uoga sio suluisho katka jambo fulani.

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Asante kwa taarifa#meridianbet

    Jibu

    Pavard yalikuwa mawazo yake ilikuwatoa uoga wapinzani wake nakuifany fainal iwe mzani sawa ingawa waliowengi wanamchukuliah Kama msaliti vile thanks kwa update

    Jibu

    Kujiamni ndio kitu kinacho takiwa..!ukiangalia ni kweli akuna timu yoyote hinayoweza kuingia mziki wa Bayern tuwape pongezi tu PSG kwa hatua walio fikia na sio kwa ajili ya kufuzu ubingwa

    Jibu

    Yupo sahihi kabisa

    Jibu

    Mpira dk 90

    Jibu

    Yupo sawa katika hili

    Jibu

    Pavard kuwa jasili kujiamini ndio kitu muhimu ongea kwakitu ulicho kuwa nacho moyoni

    Jibu

    Hakuna baya lolote alilosema yeye alalikuwa na lengo la kuhamasisha wachezaji wenzake kufocus kwenye mchezo uliyombele yao ili kupata ushindi na kuwa mabingwa

    Jibu

    Mpira dkd 90

    Jibu

    Pavard aliongea sahihi kutaka kuwaweka wapinzani wakae tayari kwa kitakacho tokea kwamba wasiogope

    Jibu

    Uko sahihi brooo usiwe na wasiwasi

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Kujiamini ndio mwanzo wa ushindi

    Jibu

    Yupo sahihi

    Jibu

    Pavad ni matata

    Jibu

    Wanasema mdomo umeponza kichwa. Benjamini Pavard hakupaswa kutoa kauli yoyote inayoashiria hofu aliyonayo kwenye mechi ya leo badala yake alipaswa kutoa kauli ya kutia moyo na kujiamini kwa mchezo#meridianbettz

    Jibu

    Paris ni timu kubwa imekamilika kila idara

    Jibu

    Kujiamin ndo kitu muhimu kwa Jambo lolote lile mm naona kafanya saw pavard na Yuko sahihi!

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Maoni:safiii sana na bayern ushindi lazima leo

    Jibu

    Imekaa powa kujiamini ndio mpango mzima

    Jibu

    Wengi wapo Bayern ila PSG anaweza kuwaacha wengi wazi

    Jibu

    Pavard ujumbe wake unaonesha wa kujiamini sana hicho ndio kinachotakiwa kwenye timu

    Jibu

    Yuko sahihi kabisah pavard

    Jibu

    Pavard yupo sahihi utakiwi kuogopa waponzani wake

    Jibu

    maon ake

    Jibu

    Kweli uoga wako ndo kuanguka kwako

    Jibu

    Duh leo ndo leo

    Jibu

    Mpira dakika90

    Jibu

    Ni sahihi tu

    Jibu

    Ni mtazamo wake tu huo ingawa jamiii imemwona Kama msaliti vle

    Jibu

    Yupo sahihii kwa anachokisema

    Jibu

    Mechi itakua ya kibabe Sana.

    Jibu

    Mi naona alipaswa kujiamini kwa mchezo wa leo na sio kutoa maneno ya hivyo

    Jibu

    Ni mtazamo wake tu huo ingawa jamiii imemwona Kama msaliti vle wajue kwamba hiyo ni km ganda la chungwa Kuna ngoz ya nje na ya ndani .

    Jibu

    Huyu alisha watabiria

    Jibu

    psg mpira waliucheza ipasavyo lakini haikuwa na jinsi vita walipigana lakini mwisho wa siku wakaambulia kichapo

    Jibu

    Alikuwa sahihi

    Jibu

    Yuko sahihi pavard

    Jibu

    Imeelewekaaaa iyoo!!

    Jibu

    Ni mtazamo wake tu huo ingawa jamiii imemwona Kama msaliti vle

    Jibu

    Yuko sahihi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.