Chelsea Kumvuta Jules Kounde
News

Klabu ya Chelsea imekubali kulipa kiasi cha £55 million kwa ajiri ya kumsainisha Jules Kounde kutoka Sevilla Chelsea baada ya kufanikisha usajiri wa  Kalidou Koulibal wenye thamani ya £34m wikiendi …

Soma zaidi
Bayern Munich Wathibitisha Kumsajiri Matthijs de Ligt
News

Klabu ya Bayern Munich imethibitisha kumalizana na klabu ya Juventus kwenye uhamisho wa mlinzi wake wa kimataifa kutoka nchini Uholanzi Matthijs de Ligt. Matthijs de Ligt ameigharimu klabu ya Bayern …

Soma zaidi
Polisi Tanzania Kuweka Kambi Dar
SOKA LA BONGO

Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania umeweka wazi kuwa wataweka Kambi maalumu kwa ajili ya maandalizi ya michezo inatayotarajia kuanza hivi karibuni kwenye msimu wa 2022/23 katika jiji la Dar …

Soma zaidi
Biashara United Wahitaji Kocha Mwenye Elimu ya Kidato cha Nne Tu
SOKA LA BONGO

JE una cheti cha kidato cha nne na unaweza kufundisha mpira? basi Biashara United panakufaa kwa sababu wanahitaji kupata Kocha Mkuu kwenye kikosi chao. Taarifa rasmi iliyotolewa na Biashara United …

Soma zaidi
Chiko Atemwa Yanga, Uhakika wa Yakuba Jangwani Mhh!
American Football

KLABU ya Yanga imefikia makubaliano ya kuachana na kiungo wa Kimataifa wa DR Congo Chiko Ushindi ambaye alikuwa anacheza kwa mkopo akitokea kwenye klabu ya TP Mazembe. Msemaji wa klabu …

Soma zaidi
Akpan na Sopu Wawapasua Kichwa Coastal Union
SOKA LA BONGO

Benchi la ufundi la Coastal Union limefunguka kuwa kuwapoteza nyota wao Akpan na  Sopu jambo hilo linawapa changamoto kubwa katika kutengeneza kikosi chao cha msimu ujao. Akpan amejiunga na  klabu …

Soma zaidi
Geita Gold FC Kuweka Kambi Burundi
SOKA LA BONGO

UONGOZI wa timu ya Geita Gold FC unatarajia kuweka kambi nchini Burundi kwenye mji wa Bujumbura kwa ajili ya kujiandaa na mashindano yote yanayowakabili kwa msimu unaotarajia kuanza August. Ofisa …

Soma zaidi
Tottenham Yamvuta London Spence Kutoka Middlesbrough
Daily News

Klabu ya Tottenham Hotspurs imefanikiwa kuinasa saini ya Djed Spence kutoka katika klabu ya Middlesbrough kwa dau linaripotiwa kuwa ni pauni milioni 20. Beki huyo wa alicheza michezo 42 ya …

Soma zaidi
Haller Akutwa na Saratani ya Tezi Dume
Bundesliga

Borussia Dortmund imeweka wazi kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo Sebastien Haller amegundulika kuwa na saratani ya tezi dume. Haller, 28, alijiunga na BVB mwezi Julai akitokea Ajax baada ya …

Soma zaidi
Arsenal Kumvuta Zinchenko Kutoka Man City
Daily News

Klabu ya Arsenal iko kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajiri wa Oleksandr Zinchenko baada ya kufikiana makubaliano na mchezaji huyo mwenye miaka 25 kwa mkataba wa miaka 4. Arsenal wameandaa …

Soma zaidi
1 2 3 818 819 820 821 822 823 824 2,045 2,046 2,047