Blooklyn Nets Yamsajili Mkongwe Beasley.

Timu ya mpira wa kikapu nchini marekani Blooklyn Nets imefanya usajili wa mchezaji wa zamani wa timu hiyo Michaell Beasley ili kuisaidia timu hiyo kunako ligi ya NBA.

Timu imethibitisha  usajili huo kwa maelezo siku ya Ijumaa.Tumemuita Beasley “Mchezaji wa akiba.”

Beasley hajacheza kwenye ligi ya NBA tangu mwezi Februari msimu uliopita lakini alikuwa akicheza ligi ya kikapu ya China inayojulikana kama Chinese Basketball Association akiwa na timu ya Guangdong Southern Tigers.

Usajili huo umekuja baada ya Nets kumsajili mkongwe mwingine Jamal Crawford ikiwa ni hatu a ya Blooklyn wakijaribu kuongeza ushindani katika mbio za kufanya vizuri NBA ambapo timu 22 zitachuana mjini Orlando, Frolida mwezi huu mwishoni.

Beasley mwenye umri wa miaka 31 na Crawford mwenye umri wa miaka 40 wameongezwa katika kikosi cha Nets kufuatia kikosi hicho kuwa na wachezaji pungufu kutokana baadhi ya wacheaji hawajapona majeraha yaliyokuwa yakiwasibu.

Michael Beasley

DeAndre Jordan,Tauren Prince na mlinzi Dinwiddie wamepimwa na kukutwa na maambukizi ya Corona na wamesema hawatojiunga na timu Orlando.Mfungaji Wilson Chandlernaye pia amesema “Afya ya familia yangu ndio kitu cha kwanza cha kuizingatia.”

Kelvin Durant pia hata vaa jezi za Nets kutokana na kuendelea kuuguza majeraha wakati Kyrie Irvinghatocheza kwa  msimu wote baada ya kufanyiwa upasuaji wa bega mwezi machi.

Kutokana na idadi kubwa ya wachezaji muhimu kuwa nje, mchezaji wa kati Jarrett Allen  na walinzi wafungaji Caris LeVert na Joe Harris watakuwa wakiongoza utafutaji wa pointi pindi NBA ikirejea mwezi julai 31.

Beasley ana wastani wa alama 12.4 na repound 4.7 katika michezo 609 kwenye NBA.

Beasley amecheza katika timu tofauti za NBA timu hizo ni kama Miami Heat,Minnesota Timberwolves,Phoenix Suns, Huston Rockets,Milwaukee, New York Knicks na Los Angeles Lakers.

50 Komentara

    Ni habari nzur kwa mashabiki

    Jibu

    Beasley Anajua sana Daaa!!!Mbona raha#Meridianbettz

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Nice

    Jibu

    safi sana ni jambo zuri kusajili wachezaji wa zamani ikiwa wanao uwezo

    Jibu

    Blooklyn ni mtaalamu sana ,na mjuzi wa mchezo wa kikapu

    Jibu

    Blooklyn wanarudi kivingine

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    Beasley ni mchezaji hodari blooklyn nets wamepata hapa

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Wamefanya jambo la maana

    Jibu

    Kwa ss wapenda basketball tunaona raha tu

    Jibu

    Brooklyn ipo katika wakati mgumu hivyo imefanya maamuzi magumu. Pamoja na usajiri sitarajii watafanya maajabu yoyote kutoka na moto wa LA LAKERS na TORONTO RAPTORS#meridianbettz

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Ni jambo zuri Sana.

    Jibu

    Brooklyn itakuja kua moto sana kwa kufanya usajili wa mchezaj makini sana na shupavu

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    Kazi nzr brooklyn

    Jibu

    Maoni:safi sana

    Jibu

    Safi kbs

    Jibu

    Ni faida kwa upande wao

    Jibu

    Hawa nao wamekwama Yani mpaka wanasjili wakongwe walio zeeka

    Jibu

    Naona anaweza kuwasaidia kiupande wao

    Jibu

    dah wameniangusha aisee

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Vizuri atawaletea mafanikio

    Jibu

    Goods news

    Jibu

    Pamoja na usajiri sitarajii watafanya maajabu yoyote #meridianbettz

    Jibu

    Hopefully huu usajili utaleta mabadiriko hapo Blooklyn

    Jibu

    Wamefanya Jambo jema

    Jibu

    Ni jambo zuri

    Jibu

    Habari njema kijana ni mahili katika mpira wa kikapu Nina Imani hawatojuta kumsajili

    Jibu

    Ni jambo zuri ingawa kwa sasa hawako vizuri kbs

    Jibu

    N.B.A itafika mbali sana.kama wamemsajili mkongwe uyu

    Jibu

    Amefanya usajili mzuri naamini utaleta Mabadiliko

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Beasley fundi

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Safi sanaaa

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Safi sana#Meridianbettz

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Nic

    Jibu

    Habari nzuri kwa mashabiki

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.