FIFA Watangaza Sheria Mpya za Mkopo

Shirikisho la mpira duniani FIFA limetangaza sheria mpya ambazo zitakuwa zinazibiti wachezaji wanaotelewa kwa mkopo kwa timu ambao hawatatakiwa kuzidi wachezaji sita.

Sheria mpya zilizopendekezwa ba shirikisho lampira duniani FIFA zinztzrajiwa kupigiwa kura ya kupata kibali cha ruhusa ya kuanza kutumika kwenye kikao kijacho, shirikisho hilo linataka kuzuia kuwaweka wachezaji kwenye timu kwa muda mrefu, klabu hazitarusiwa kuwatoa zaidi ya wachezaji sita kuanzia msimu wa 2024/25.

FIFA

Sheria mpya zitawahusu wachezaji wa kimataifa ambao watakuwa wanatolewa kwa mkopo au timu kuwapokea kwa klabu yeyote na inatarajiwa kuanza kufanyakazi mwezi July, ispokuwa wavhezaji chini ya miaka 21 au waliolelewa na klabu kutoka kwenye akademi yake hizi sheria mpya hazitawahusu.

Sheria mpya hazitawahusu wachezaji wanaotolewa kwenye ligi za ndani, lakini FIFA wamevitaka vyama vya soka vya ndani kutoa kanuni ambazo zitakwenda sawa ndani ya miaka mitatu, kwaiyo kabla July 1 2025 inabidi wawe tayari wamefanyia maboresho ya kaninu zao.

FIFA

Kanuni hizo mpya zimetengenezwa ili kuweza kusaidia kukuza vijana kutoka kwenye akademi za timu husika, kuweka usawa wa ushindani na kupunguza kuwarundika wachezaji wengi, awali sheria ingebidi ianze kutumikia  July 2020 lakini ilisogezwa mbele kutokana na mlipuko wa UVIKO-19.

FiFA baada ya kikao cha mwisho sheria zitaanza kutumika July 1 2022 hadi June 2023 klabu zitaruhusiwa kusajiri wachezaji nane tu wa mkopo wa kimataifa wataoingia na kutoka, na idadi itashuka mpaka saba mwaka 2023-24 na kufikia sita mwaka 2024-25.


 

JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe